Foffana
JF-Expert Member
- Oct 29, 2022
- 3,240
- 5,625
Habari zenu Wakubwa
Naomba kuulizia ID anayotumia Waziri wetu wa afya humu Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa nina jambo nataka kumshirikisha
Nilimsikia akidai kuna alimjibu mtu humu JF kuhusu kero zinazotokea kwenye sekta ya afya na huwa anapita sana humu kujibu jibu maoni na maswali ya watu mbalimbali
Anayeifahamu ID yake au ambaye alijibiwa na mheshimiwa aitag hapo chini au anitumie hata PM