Cvez
JF-Expert Member
- May 19, 2018
- 4,405
- 13,411
Mawazo ya sis Sky 😀😀😀😀 muda mwingine burudani sanaKile kitambulisho cha machinga kingejumlisha na bima ya afya ingeleta maana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mawazo ya sis Sky 😀😀😀😀 muda mwingine burudani sanaKile kitambulisho cha machinga kingejumlisha na bima ya afya ingeleta maana.
Naona bado uko ndotoni, hebu amka kumeshakucha, yani matibabu yako nichangie mimi halafu matibabu yangu atachangia nani?Kiwango kipi cha juu ambacho sisi wasio na ajira hatuwezi kukimudu? Bima ni suala la kuchangiana,wasiougua wanawachangia wanaougua hivyo hata kama ni 30000 lakini tuwe na uhakika wa tiba. Sio unasubiri kutibiwa kisa huna senti.
Wewe sio ndio umesema tozo ya kumuona Dr sababu mojawapo kwanini lazima watu walipie bima, au?Unaniuliza mimi?
Unaweza kujifanya mjuaji kumbe ni kidampa tu. Bima huwa ni kuchangiana kama hujui. Ndio maana unakata bima ya laki mbili gari la mil15 likipata ajali unalipwa,maana wengine waliokata bima ambao hawajapata ajari wanakuchangia. Vivyo hivyo kwenye afya.Naona bado uko ndotoni, hebu amka kumeshakucha, yani matibabu yako nichangie mimi halafu matibabu yangu atachangia nani?
Unadhani tunaishi kwenye nchi ya kijamaa?! una uwezo mdogo wa kufikiri.
Unaweza kutuambia mtaalamu wa bima anakuwa amechukua shahada gani chuo kikuu?Unaweza kujifanya mjuaji kumbe ni kidampa tu. Bima huwa ni kuchangiana kama hujui. Ndio maana unakata bima ya laki mbili gari la mil15 likipata ajali unalipwa,maana wengine waliokata bima ambao hawajapata ajari wanakuchangia. Vivyo hivyo kwenye afya.
Unaniuliza ili iweje? Hujui kugoogle na kupata majibu?Unaweza kutuambia mtaalamu wa bima anakuwa amechukua shahada gani?
Wale wanaotakiwa kutibiwa kwa bima lakini hospitali hawafanyi hivyo wanatakiwa kuongezea gharama ndipo watibiwe mbona huwa hawachangiwi wakiwa hospitali?Unaweza kujifanya mjuaji kumbe ni kidampa tu. Bima huwa ni kuchangiana kama hujui. Ndio maana unakata bima ya laki mbili gari la mil15 likipata ajali unalipwa,maana wengine waliokata bima ambao hawajapata ajari wanakuchangia. Vivyo hivyo kwenye afya.
Mbona swali jepesi tu jibu halafu tuone ufahamu wako wa discipline husika inawezekana una hoja mkuu.Unaniuliza ili iweje? Hujui kugoogle na kupata majibu?
Bro kwani bima za afya hazina madaraja?Wale wanaotakiwa kutibiwa kwa bima lakini hospitali hawafanyi hivyo wanatakiwa kuongezea gharama ndipo watibiwe mbona huwa hawachangiwi wakiwa hospitali?
Wachana na magari hapa sio gereji.
Sifahamu boss,hapa hoja ni agizo la mama Gwajima kuwa tulipie matibabu kabla ya bahati mbaya ya kufa.Mbona swali jepesi tu jibu halafu tuone ufahamu wako wa discipline husika inawezekana una hoja mkuu.
Naunga mkono hoja.Wana JF poleni na pilika pilika za sikukuu.
Kama kichwa cha uzi kinavyojitanabaisha niseme kuwa agizo la waziri wa afya sio zuri kwa mustakabari wa watanzania.
Watanzania wengi tunaishi maisha ya kubahatisha,wengi tunatafuta chakula. Habari ya matibabu huwa ni dharula ndio maana tukiugua au kupata mgonjwa huwa tupata tabu sana.
Kitendo cha waziri mwenye dhamana ya afya zetu kuagiza hospital ziwe zinatukaba tuwe tunalipa gharama ya matibabu kabla ya bahati mbaya ya kufariki haijatokea ni habari mbaya.
Chukulia mkulima wa kijijini ambae amegongwa nyoka na kukimbizwa hospital atapata wapi pesa za kulipia haraka ili atibiwe na asifariki? Mama wa kijijini ambae amepatwa malalaria ghafla ataweza kumudu haya aliyoagiza waziri wa afya?
Wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu,hoja ya bima ya afya kwa kila mtanzania iliibuka na kuwa gumzo. Uzuri rais Magufuli kwa kujibu mapigo ya wapinzani alisema suala la bima ya afya lipo kwenye ilani ya Ccm. Na itakuwa bima ya afya kwa watanzania wote.
Waziri wa afya alitakiwa kwa nia njema ya watanzania maskini ambao anajua ndio huwa wanakwama kupata maiti za wapendwa wao ahakikishe bima ya afya kwa kila mtanzania inapatikana haraka ili tusije kupoteza maisha kwa kukosa matibabu maana kiuhalisia ni ngumu kuwa na cash wakati wote.
Ok how is the health funded currently and what is income deficit to justify national insurance?Sifahamu boss,hapa hoja ni agizo la mama Gwajima kuwa tulipie matibabu kabla ya bahati mbaya ya kufa.
Ahaaa, utaratibu wa kudaiana ubadilike uwe vipi? Si ndio nilichopost hapa,waziri kasema tuwe tunalipishwa kabla ya kupata huduma ili ikitokea bahati mbaya tusihangaike kudai waliofariki.Ok how is the health funded currently and what is income deficit to justify national insurance?
Kama vitu uvielewi acha kukurupuka the answer was simple ‘finance, investment and risk’; waziri ajasema watu walipie matibabu isipokuwa utaratibu wa kudaina ubadilike.
Sasa kama hujui ata huduma za afya Tanzania zinavyokuwa funded mamlaka ya kumpinga unatoa wapi na kutaka kila mtu awe na bima?
Hii ndio Tanzania kila mtu mjuaji, tumemfunga Rugemaralila kwa hoja za kupuuzi kama hizi, repeated overtime mpaka watu kuamini ndio ukweli wenyewe ata kama hoja zenyewe azikuwa na merit.
Unaposema mimi nijustify fee ya kumuona Dk unamaanisha nini? Kama una akili timamu na kujifanya mjuaji ungeanzisha uzi kuhoji hili maana lipo wazi kwa Watanzania wote.Wewe sio ndio umesema tozo ya kumuona Dr sababu mojawapo kwanini lazima watu walipie bima, au?
Sasa kwanini mgonjwa kumuona mtu ambae mshahara wake unalipwa na serikali tayari na chanzo cha hayo mapato ni makusanyo ya kodi anayolipia mtu huyo hiyo atozwe tena kumuona mtaalamu? It’s not a wright or wrong answer just justify it.
Kama uwezi ku jusify kitu kidogo kama hiko ina maana huna uwezo wa kumshauri wa waziri afya basi why ppl ought to pay health insurance. Waachie wengine waanzishe mada wanaoweza justify.
Waziri alichosema muhimu ni kuelewa kwanza customer’s state of income affairs, kuwaeleza wahusika costs of treatments and making payment arrangements before.Ahaaa, utaratibu wa kudaiana ubadilike uwe vipi? Si ndio nilichopost hapa,waziri kasema tuwe tunalipishwa kabla ya kupata huduma ili ikitokea bahati mbaya tusihangaike kudai waliofariki.
Kwamba huduma za afya zinagharamiwa vipi ni hoja husika hapa?
Bima ya afya kwa kila mtanzania ipo kwenye ilani ya Ccm ya 2020-2025,ni suala la kutekeleza ili kuwanufaisha watanzania wasipatwe na masumbufu.
Nafikiri huna hoja hapa ya maana,habari za akina Harbinder haziingii hapa kabisa.
Hapa tunazungumzia kutatua tatizo la maiti kuzuiwa hospitalini sababu ndugu wa marehemu hawana uwezo kulipia gharama za matibabu ya mpendwa wao, wewe bado unaturudisha kwenye madaraja, kumbe basi hata kuwa na bima ya Afya haitakuwa suluhisho la kuondoa tatizo la maiti kuzuiwa hospitalini, sasa km kulipia hawawezi, na bima wanakuwa daraja la chini, what next...?!Bro kwani bima za afya hazina madaraja?
Kwani kila mtanzania ni machinga?Kile kitambulisho cha machinga kingejumlisha na bima ya afya ingeleta maana.
Huna lolote na vingereza uchwara. Na mijitu kama nyie hata akili hua hamna maana mnadhani kuandika kingereza ndio kujua maambo wakati ni mafala na mbumbumbu.Waziri alichosema muhimu ni kuelewa kwanza customer’s state of income affairs, kuwaeleza wahusika costs of treatments and making payment arrangements before.
Basically the logic is to educate families on the costs so they understand their burdens, on their part health services to understand the family capabilities and making realistic payment arrangements.
Sasa wahudumu wa afya wana ethics za kazi sio jukumu lao kutomuhudumia mgonjwa. Maswala ya malipo ni jukumu la administration na ndugu wa marehemu na mtu anaegharamia huduma za afya ambae ni serikali.
Huduma za afya nchi hii ni zaidi ya miaka ya uhuru wanadata za kutosha kuona trend tofaouti with social progression (ie ajali za boda boda leo sio sawa na 1970’s) it’s those data which can be used to calculate service costing za average ya magonjwa yote, how much is the government contributing, what is the cost deficit and charge the extra to cover the cost.
Sasa kama itakuwa kupitia bima au after services costs hayo ni maswala ya wahasibu wizara ya afya, their marketing team and their experience with Tanzanian culture.
Muhimu ni kumuacha Dr Gwajima afanye kazi sio kila mtu anauelewa wa health management kumuelewa. Huo upuuzi wa watu wanaotaka kupotosha malengo yake lazima ujibiwe.