Ndugu taasisi ya afya inapata budget ya serikali za dawa chanzo chake ni walipa kodi, wafanyakazi wa afya mishahara yao inalipwa na serikali, vifaa tiba vinanunuliwa na serikali.
Sasa based on cost operation ndio maana watu wanafanya services costing kujua kiasi cha ku charge; kwa watu wanaopokea ruzuku charge should aim to cover subsidy deficit.
Listen haya mambo sio ya kila mtu kuropoka.
Dr Gwajima ni genius, hakuna mtu wa kumfananisha nae.
Personal nishachoka kujibizana na mbutika kama wewe unaanzisha mada hujui lolote kuhusu financing walau vilaza wenzio kama kina Bashe wanaelewa elementary concept za insurance kama indemnity, huko mbele ukiwapekechenua on how to avert long term finance risk based on number of contributors or inflation sidhani kama wanaweza jibu.
Huyu mama sio size yenu kama unaelewa health management ni mtu pekee ata nchi zilizoendelea anaweza kupewa nafasi za kwenye wizara ya afya.
Kilatha out.