mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
Huyo kwenye kila mada anainguzia na uchadema kwa mbali ndio maana anacomment hivyo,yaani bado ana zile hasira za uchaguzi anazichomekea kwenye kila mada.Mawazo ya sis Sky [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] muda mwingine burudani sana
Ndio jinsi nilivyomsoma.