mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
Siyo hayajanikuta mimi mwenyewe naishi mjini tena uswahilini kwa hyo najua A to Z kuhusu maisha ya Mtanzania.
Sawa,hayakukuta.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa,hayakukuta.
Usigeneralize kuwa kila mtu anaweza kupata elfu kumi.Siyo hayajanikuta mimi mwenyewe naishi mjini tena uswahilini kwa hyo najua A to Z kuhusu maisha ya Mtanzania.
Kama elfu 10 huna halafu na kujieleza kwa ndugu,majirani pia hujui hilo ni tatizo lingine.Usigeneralize kuwa kila mtu anaweza kupata elfu kumi.
Uwezo wako wa kudadavua mambo ni very low, huwezi kuoanisha mfano wa kumuona mbunge na ishu ya kumuona daktari.Lol I was just going through this thread before calling it a day then I encountered this post.
Ndugu costs zote inabidi ziwe na justification kwenye biashara au taasisi. Vinginevyo kesho wanaweza amua kwenda kuonana na mmbunge wako ulipie wakati analipwa mshahara na kodi zako.
Not sure even if you know the basis of how services are charged. Haya ndio mambo ndege zinanunuliwa kwanza then find people thereafter (through consultancy to write a business plan). Sasa kazi ya management ni nini?
Ni hivi kama mambo hamna uelewa nayo achaneni nayo Dr Gwajima hiyo wizara anaiweza, it’s very complicated ku-manage kuliko kujibu hizi hoja zenu za kipuuzi.
Hivi nikikuuliza unajua hata principles za socialogical context za health topic inayozungimzia mambo ya funding approaches za health services sidhani kama unajua let alone finance something which I have established you don’t have a clue.
Let the woman work kuna mambo mengine ni serious hayahitaji siasa za upuuzi.
Hayo ni mengineyo,la sivyo tusingekuwa tunasikia watu wanazuiwa kutoka Hospital au maiti zinazuiwa.Kama elfu 10 huna halafu na kujieleza kwa ndugu,majirani pia hujui hilo ni tatizo lingine.
Au wewe kwenye ukoo wenu umezaliwa peke yako?
Kwenye magharama hapo ndiyo waangalie na kurekebisha lakini tukisema sijui watu wasilipie gharama ya mwili hiyo ni fiksi tuHiyo ni kweli mkuu ila shida gharama zenyewe hazina uhalisia.
Kumdai mfiwa milioni 10 kama gharama ya mortuary tena kwenye hospitali ya umma haina uhalisia
Wewe ni mbumbu wa kufa,hizo modules zinahusika vipi na watanzania kushindwa kulipia matibabu kisha kufariki?Mkuu mimi nina pdf hapa la modules za health management nikisema nikutupie hapa uandike ata topic moja rahisi tena kwa context za Tanzania kwako ni mtihani mkubwa kwanza sidhani ata kama unajua miongozo ya wizara afya iliyopo Tanzania let alone how they are meant to be executioned.
Hata huyo Gwajima tukisema tumuwashe matatizo yalipo tutakuwa tunamuonea, because she was not responsible for designing service approach.
Kuna module karibu 21 kwenye health management kama unazielewa principle zake halafu umskilize Dr Gwajima akigusia hizo concepts depending on health management alipokuwa kwenye ziara zake kabla ya kuteuliwa ndio unajua huyu mama walau kasomea hayo mambo even better she is a medic by proffesional suitable for that role.
Huyo mama ni blessing wizara ya afya anajua anachokifanya she is very qualified.
Hivi kwani gharama ya kuhifadhi mwili kwenye hospital za umma ni sh ngapi? Wewe kwa nini usishauri wenye pesa wawe wanaenda private hospital,alafu za umma iwe bure kabisa? Maaana sasa pato la taifa linaenda kuongezeka mpaka tril 2.Kwenye magharama hapo ndiyo waangalie na kurekebisha lakini tukisema sijui watu wasilipie gharama ya mwili hiyo ni fiksi tu
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Sekta ya afya ina changamoto sana....hiyo bima sio jambo dogo.Wana JF poleni na pilika pilika za sikukuu.
Kama kichwa cha uzi kinavyojitanabaisha niseme kuwa agizo la waziri wa afya sio zuri kwa mustakabari wa watanzania.
Watanzania wengi tunaishi maisha ya kubahatisha,wengi tunatafuta chakula. Habari ya matibabu huwa ni dharula ndio maana tukiugua au kupata mgonjwa huwa tupata tabu sana.
Kitendo cha waziri mwenye dhamana ya afya zetu kuagiza hospital ziwe zinatukaba tuwe tunalipa gharama ya matibabu kabla ya bahati mbaya ya kufariki haijatokea ni habari mbaya.
Chukulia mkulima wa kijijini ambae amegongwa nyoka na kukimbizwa hospital atapata wapi pesa za kulipia haraka ili atibiwe na asifariki? Mama wa kijijini ambae amepatwa malalaria ghafla ataweza kumudu haya aliyoagiza waziri wa afya?
Wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu,hoja ya bima ya afya kwa kila mtanzania iliibuka na kuwa gumzo. Uzuri rais Magufuli kwa kujibu mapigo ya wapinzani alisema suala la bima ya afya lipo kwenye ilani ya Ccm. Na itakuwa bima ya afya kwa watanzania wote.
Waziri wa afya alitakiwa kwa nia njema ya watanzania maskini ambao anajua ndio huwa wanakwama kupata maiti za wapendwa wao ahakikishe bima ya afya kwa kila mtanzania inapatikana haraka ili tusije kupoteza maisha kwa kukosa matibabu maana kiuhalisia ni ngumu kuwa na cash wakati wote.
Ila kusema tu ule ukweli hii wizara safari hii imepata waropokaji kweli kweli halafu wanajikuta 'majiwe kweri kweri'.Wana JF poleni na pilika pilika za sikukuu.
Kama kichwa cha uzi kinavyojitanabaisha niseme kuwa agizo la waziri wa afya sio zuri kwa mustakabari wa watanzania.
Watanzania wengi tunaishi maisha ya kubahatisha,wengi tunatafuta chakula. Habari ya matibabu huwa ni dharula ndio maana tukiugua au kupata mgonjwa huwa tupata tabu sana.
Kitendo cha waziri mwenye dhamana ya afya zetu kuagiza hospital ziwe zinatukaba tuwe tunalipa gharama ya matibabu kabla ya bahati mbaya ya kufariki haijatokea ni habari mbaya.
Chukulia mkulima wa kijijini ambae amegongwa nyoka na kukimbizwa hospital atapata wapi pesa za kulipia haraka ili atibiwe na asifariki? Mama wa kijijini ambae amepatwa malalaria ghafla ataweza kumudu haya aliyoagiza waziri wa afya?
Wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu,hoja ya bima ya afya kwa kila mtanzania iliibuka na kuwa gumzo. Uzuri rais Magufuli kwa kujibu mapigo ya wapinzani alisema suala la bima ya afya lipo kwenye ilani ya Ccm. Na itakuwa bima ya afya kwa watanzania wote.
Waziri wa afya alitakiwa kwa nia njema ya watanzania maskini ambao anajua ndio huwa wanakwama kupata maiti za wapendwa wao ahakikishe bima ya afya kwa kila mtanzania inapatikana haraka ili tusije kupoteza maisha kwa kukosa matibabu maana kiuhalisia ni ngumu kuwa na cash wakati wote.
BroAngalau angewekwa Faustine huyo mama nakuambia hatoboi mwaka hapo
Huu upuuzi unaoweka kama randama unamsaidia nini mtanzania asiyeweza kugharamia gharama za matibabu?View attachment 1659367
We unaweza andika hizo evidence based practice kwa standard za NHS kuzingatia sheria na mifumo ya afya iliyopo.
Huyu ni mteja wangu wanne wa clinical practice yeye anafanya practice mimi naandika theories zake kuanzia anaanza mwaka wa kwanza mpaka mwisho wanamaliza degree nisha cover every aspect ya clinical health services zote.
Huko kwenye health management nishafanyia wahitimu zaidi ya kumi, kwa hiyo huduma ya afya naijua vilivyo.
Nadhani umechanganya kidogo .Hiyo haikuwa Ambulance ilikuwa ni Gofu ya police.Tulipewa ambulance haina kitanda, mgonjwa analazwa chini kwenye godoro.
Kabla kabisa waziri wa Fedha angekuja na mkakati wa kodi kwa kila kichwa.. then wa afya atoe tiba kwa kila mtu bure na wa elimu atoe elimu bure na wakazi atoe ajira za kutosha na ikishindikana Watu wapewe hela tuu.. hata kama kazi hakuna.Wana JF poleni na pilika pilika za sikukuu.
Kama kichwa cha uzi kinavyojitanabaisha niseme kuwa agizo la waziri wa afya sio zuri kwa mustakabari wa watanzania.
Watanzania wengi tunaishi maisha ya kubahatisha,wengi tunatafuta chakula. Habari ya matibabu huwa ni dharula ndio maana tukiugua au kupata mgonjwa huwa tupata tabu sana.
Kitendo cha waziri mwenye dhamana ya afya zetu kuagiza hospital ziwe zinatukaba tuwe tunalipa gharama ya matibabu kabla ya bahati mbaya ya kufariki haijatokea ni habari mbaya.
Chukulia mkulima wa kijijini ambae amegongwa nyoka na kukimbizwa hospital atapata wapi pesa za kulipia haraka ili atibiwe na asifariki? Mama wa kijijini ambae amepatwa malalaria ghafla ataweza kumudu haya aliyoagiza waziri wa afya?
Wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu,hoja ya bima ya afya kwa kila mtanzania iliibuka na kuwa gumzo. Uzuri rais Magufuli kwa kujibu mapigo ya wapinzani alisema suala la bima ya afya lipo kwenye ilani ya Ccm. Na itakuwa bima ya afya kwa watanzania wote.
Waziri wa afya alitakiwa kwa nia njema ya watanzania maskini ambao anajua ndio huwa wanakwama kupata maiti za wapendwa wao ahakikishe bima ya afya kwa kila mtanzania inapatikana haraka ili tusije kupoteza maisha kwa kukosa matibabu maana kiuhalisia ni ngumu kuwa na cash wakati wote.
Bro
Awamu hii wakurupukaji wanapendwa na rais keeli kweli.
Hasa wapenda kamera na watoa matamko lukuki
Bima ya afya ni muhimu sana kwa kila mwananchi lakini pia gharama za matibabu ni kubwa sana duniani pote.Wana JF poleni na pilika pilika za sikukuu.
Kama kichwa cha uzi kinavyojitanabaisha niseme kuwa agizo la waziri wa afya sio zuri kwa mustakabari wa watanzania.
Watanzania wengi tunaishi maisha ya kubahatisha,wengi tunatafuta chakula. Habari ya matibabu huwa ni dharula ndio maana tukiugua au kupata mgonjwa huwa tupata tabu sana.
Kitendo cha waziri mwenye dhamana ya afya zetu kuagiza hospital ziwe zinatukaba tuwe tunalipa gharama ya matibabu kabla ya bahati mbaya ya kufariki haijatokea ni habari mbaya.
Chukulia mkulima wa kijijini ambae amegongwa nyoka na kukimbizwa hospital atapata wapi pesa za kulipia haraka ili atibiwe na asifariki? Mama wa kijijini ambae amepatwa malalaria ghafla ataweza kumudu haya aliyoagiza waziri wa afya?
Wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu,hoja ya bima ya afya kwa kila mtanzania iliibuka na kuwa gumzo. Uzuri rais Magufuli kwa kujibu mapigo ya wapinzani alisema suala la bima ya afya lipo kwenye ilani ya Ccm. Na itakuwa bima ya afya kwa watanzania wote.
Waziri wa afya alitakiwa kwa nia njema ya watanzania maskini ambao anajua ndio huwa wanakwama kupata maiti za wapendwa wao ahakikishe bima ya afya kwa kila mtanzania inapatikana haraka ili tusije kupoteza maisha kwa kukosa matibabu maana kiuhalisia ni ngumu kuwa na cash wakati wote.
Wewe una akili na umeona vema, anapenda sana sifa hata za kipumbavu.Kwangu mimi huyu wa Waziri wa afya ndiye waziri wa hovyo zaidi.
Ni mpenda sifa na mkurupukaji.
Anafanya vitu kwa sifa na hana weledi wowote.