Taarifa zilizopo ni kwamba huwa wanapimwa ila huwa wanapewa majibu ya uongo!Yaani unapigwa dola 100 kupima Corona ambayo utaambiwa huna hata kama unayo.Kwani wanapo ondoka hawapimwi jamani? Basi ukimjua adui tafuta mbinu anazotumia ili asikudukue mapema, viongozi fanyeni kazi yenu!
Kwani ukiwahi kusikia kuwa tuna vipimo vya corona?Kwani wanapo ondoka hawapimwi jamani? Basi ukimjua adui tafuta mbinu anazotumia ili asikudukue mapema, viongozi fanyeni kazi yenu!
Hivi unajua unaweza ukapata Corona na usijue mpaka inapona haujui ? Au hilo ulikuwa haujui..., ila in the mean time unakuwa a Super Spreader na kuangamiza wengineCorona kwa asilimia hiyo mpaka wamefika wanadunda tu hawajiulizi. Wawape tu tuzo
Tanzania tunakiri corona ipo. Hata Abas kashaliweka sawa. Ila tunatofautiana namna ya kukabiliana nayo. Sisi kama nchi hatuko tayar kwa chanjo ambayo haijafanyiwa uhakiki wa kutosha. Hatuko tayar kwa lockdown. Sana sana tuongeze vifaa tiba kama oxygen na watoa huduma wa kutosha ikibid. Tuchukue taadhar za kawaida kama usafi, distancing na barakoa[barakoa si muhim sana]. Tupunguze mikusanyiko isiyo ya lazma[lakin ya kiuzalishaji iendelee]. Pia tuziamin dawa zetu za asili kama kufukiza na limao na tangawizi. na tule vyakula vya kuongeza virutubisho kinga. Tuone kama herd immunity pia itafanya kaz. Tusijiingize kwenye mbinu zinazotugharim kwa tija kidogo. Muhim zaid tupunguze hofu mana huu si ugonjwa wa kuisha leo. Tukabilane nao. Lawana na laana ziwaendee waliotengeneza hiyo virus kwa maslahi yao.Halafu hii ghost government from hell inasema kuwa Tanzania haina Corona!