Waziri wa Afya Oman: Asilimia 18% ya wasafiri wanaotokea Tanzania wamekutwa na maambukizi ya virusi vya corona, tunafikiria kusitisha safari za ndege

Waziri wa Afya Oman: Asilimia 18% ya wasafiri wanaotokea Tanzania wamekutwa na maambukizi ya virusi vya corona, tunafikiria kusitisha safari za ndege

Tukiwa Tanzania tunakuwa tunaambiwa ni shida ya upumuaji lakini tukienda nje ni corona
 
Ila jiwe na baraza lake zima mbona hawatupii barakoa ama wameamua kijitoa kafara kama bwana wetu yesu kristo
... wameamua kujitoa mhanga kwa ajili ya taifa lao; wanatuongoza katika kali sana ya uchumi wa kati dhidi ya husda za mabeberu. Watakumbukwa kama mashujaa wa taifa huko mbeleni.
 
Kipo kilicho nyuma ya hili tatizo la mafua, iiluminati wanajua sana nini kinaendelea. Tuko nyakati za mwisho sana za Yesu kuwanyakua watu wake. Dhiki kuu iko mlangoni. Aliye mtakatifu na azidi kutakaswa.

YESU NI BWANA NA MWOKOZI
Why they crucified him?
 
Dunia kwa sasa inatakiwa kuwa makini sana na Tanzania kuliko hata corona, hebu fikilia hao ni wasafiri waliopimwa kabla ya kuondoka vipi walioko huko vijijini
Kijijini fresh mkuu tuna limao kama zote toka nije huku niko peace sana tofauti na town huku hata wanaoumwa hamna ni mwendo wa fuuuuuuuuuh! Kujivukiza tu
 
% za nchi nyingine ziokje? Kwani hiyo sample ni representative? Halafu, akisitisha ndege, hawatapanda ndege nyingine?
 
View attachment 1703573
View attachment 1703577

Waziri wa Afya wa Oman amethibitisha takwimu za maambukizi ya Corona kwa wasafiri wanaotokea nchini Tanzania kuwa katika kiwango cha juu sana, ambapo asilimia 18 ya wasafiri wamekutwa na maambukizi ya virusi hivyo. Waziri huyo amesema wanafikiria kuzuia safari za ndege kutoka nchi zinazoonyesha kuwa na kiwango cha juu cha maambukizi ya virusi vya corona.
Mabeberu hawa
 
Dunia kwa sasa inatakiwa kuwa makini sana na Tanzania kuliko hata corona, hebu fikilia hao ni wasafiri waliopimwa kabla ya kuondoka vipi walioko huko vijijini
Hakuna vipimo wanachukuwa pesa na kujaza form tu all negative wanaingiza gharama watu bure tu kukaa quarantine, ni bora kama uko positive unavunja safari unakaa home sasa unasafiri unadhani uko negative unafika positive unaambiwa chukuwa hotel kwa gharama zako siku 14 upime tena sio mitihani hii. nimeandika sana kuhusu hili siku itakuja ndege zitapigwa ban kuja Tz na siku hizo haziko mbali.
 
Watakuwa wanatumiwa tu na mabeberu waarabu koko hao.

Hizi ni chuki tu za mabeberu kwa kipenzi cha Mungu Dkt JPM.

Watakuwa wanatuonea wivu tu kwa kuwa tuko uchumi wa kati.

Au nasema uongo ndugu zangu?
pole dada
 
Ngoja ukoo wenu uanze kupuputika ndio utajua hao waarabu koko wanasema ukweli
Hapana B
Unajua kabla nilikua very against mh. Rais ila katika swala la Corona Niko nae bega kwa bega... Na hichi ulichoelezea ndio logic yake ambayo natamani wapinzani wenzangu waelewe waache ushabiki, hatuwezi iga Kila kitu especially vitu ambavyo hatujaona mafanikio yake.
Jamani wa Tanzania tumemkosea nini Mungu?? hivi wewe unaandika kabisa na kujiamini kuwa tunachofanya ni sawa?? Huu ugonjwa sio issue ya Tanzania ni duniani kote chanjo utapiga unataka hutaki ni lazima jeuri yako italeta majanga kwa watu wengine hii sio optional tena, adhabu ya kwanza zitapigwa ban ndege zote kutua hakuna nchi itakayochukuwa risk kuwapelekea ugonjwa mbaya zaidi kuruhusu virus kubaki katika mzunguko ni kuvipa njia ya kujiegeuza na kuunza upya hili halitakubalika. Israel wameshasema jana 71% wamepata chanjo na drop ya wagonjwa 94% na UK number zinashuka USA number zinashuka unataka prove gani, piga marufuku basi na chanjo zote za watoto maana huko ndio wangetupa kama wanatutaka waje kutufunga uzazi leo watu wenyewe hata kwa vumbi la congo huna faida. Dunia nzima wako serious ila sisi tu wenye nyimbo ya uchumi wa kati(fake) ndio tuko smart sana? Nailaumu CCM wanaipeleka hii nchi kubaya na tutafika huko kama ZANUPF. tutafika tu ila kurudi ndio kimbembe.
 
Hakuna vipimo wanachukuwa pesa na kujaza form tu all negative wanaingiza gharama watu bure tu kukaa quarantine, ni bora kama uko positive unavunja safari unakaa home sasa unasafiri unadhani uko negative unafika positive unaambiwa chukuwa hotel kwa gharama zako siku 14 upime tena sio mitihani hii. nimeandika sana kuhusu hili siku itakuja ndege zitapigwa ban kuja Tz na siku hizo haziko mbali.
Wewe sio mzalendo..
 
Back
Top Bottom