Waziri wa Afya Oman: Asilimia 18% ya wasafiri wanaotokea Tanzania wamekutwa na maambukizi ya virusi vya corona, tunafikiria kusitisha safari za ndege

Waziri wa Afya Oman: Asilimia 18% ya wasafiri wanaotokea Tanzania wamekutwa na maambukizi ya virusi vya corona, tunafikiria kusitisha safari za ndege

Twende taratibu hao uliowataja (nchi) kwa lockdown waliokoa watu wangap???

Sawa sisi taarifa hatutoi lakini kuamuwazi Ni watu wangapi kwenye familia yako washapoteza maisha kwa coroCo ili ujue uzito wa janga hili plus hatua tulizochukua???

Swala la chanjo Rais hajakataa ila hataki tuwe majaribio kwa sababu mpaka sasa haijadhibitika sahihi Ni ipi!!

Vip Kenya wametangaza lockdown mwaka huu Tena?
Unajuwa tofauti yako wewe ni mpaka ufiwe wewe ndio tatizo wengine sio tatizo, Mimi sijapoteza mtu wa ndani ya family kabisa lakini tumeuguza sana na wengine shangazi yangu na mjomba hawa iliwapa tabu zaidi mpaka kulazwa. Hivi navyoandika tumetoka kuzika mzee wetu tunayemjuwa kama mzee wetu na Mkwe wangu ana wiki sasa Hosp. lakini haya yote sio muhimu labda tumepata bahati. kwa wewe unaongelea Kenya hivi corona ya kwanza tulivyofunga shule na kuzuia mpaka harusi mbona haikuwa shida leo hii corona hatari zaidi imekuwa shida. nataka nirudie tena hope utasoma vizuri kwa herufu kubwa. SI SUPPORT LOCKDOWN NACHOTAKA SERIKALI KUKUBALI HILI TATIZO NA KUWAASA WATU WAWE MAKINI NA KUZUIA MIKUSANYIKO ISYOKUWA YA LAZIMA SIO KWENYE MAJUKWA KUIMBA NGONJERA WAZUNGU HAWATUPENDI WANATAKA KUTUFANYIA UPUUZI. TUWACHE UJINGA TUNA NINI KIKUBWA SISI? 90% TUNATEGEMEA VINAVYOTOKA KWAO.
 
Nashukuru tumeelewa kwamba hatutaki lockdown. Swala la mikusanyiko Kila mmoja atapima umuhimu wake, kwakua serikali ishatangaza kuhusu Hilo.
 
Nashukuru tumeelewa kwamba hatutaki lockdown. Swala la mikusanyiko Kila mmoja atapima umuhimu wake, kwakua serikali ishatangaza kuhusu Hilo.
Baba Jay, serikali haijafanya kitu ndio kwanza inaitisha matamasha yasiyokuwa na tija yoyote sijui serengeti festival mikutano haina tija yoyote huku watu wakiogopa kuvaa hata mask. Haya leo wamepoteza katibu mkuu kiongozi na hawa ni watu maarufu kuna mamia mitaani hawana majina. Yes no lockdown lakini kwanini hata shule wanashindwa kufunga hawa watoto haumwi lakini ndio wasambazaji wakubwa WHY? mtoto mdogo nimerudisha home haendi shule afya yake muhimu na yetu kuliko hiyo shule yes ana wiki ya pili hii home. Serikali ni wakati kuja hadharani na kusema haya kwa sauti kubwa maana kuna watu wanasikiliza wanachosema viongozi tu hawajui kujiongeza. please stop schools na misherehe na mikutano isiyokuwa na faida.
 
Corona ipo na inaua.

Usiamini kauli za kipumbavu za wanasiasa. Ulinzi wa afya yako ni jukumu lako.
Hapo ni akili yakuambiwa changanya na zakwako afya ni mtu binafsi na inaanzia nyumbani mkuu
 
Kwani wanapo ondoka hawapimwi jamani? Basi ukimjua adui tafuta mbinu anazotumia ili asikudukue mapema, viongozi fanyeni kazi yenu!
Kuna wanaopewa uchaguzi, je tukupime na kukupa majibu au tukuandikie tu bila ya kupima? Kila moja ina bei yake.
 
Back
Top Bottom