Unajuwa tofauti yako wewe ni mpaka ufiwe wewe ndio tatizo wengine sio tatizo, Mimi sijapoteza mtu wa ndani ya family kabisa lakini tumeuguza sana na wengine shangazi yangu na mjomba hawa iliwapa tabu zaidi mpaka kulazwa. Hivi navyoandika tumetoka kuzika mzee wetu tunayemjuwa kama mzee wetu na Mkwe wangu ana wiki sasa Hosp. lakini haya yote sio muhimu labda tumepata bahati. kwa wewe unaongelea Kenya hivi corona ya kwanza tulivyofunga shule na kuzuia mpaka harusi mbona haikuwa shida leo hii corona hatari zaidi imekuwa shida. nataka nirudie tena hope utasoma vizuri kwa herufu kubwa. SI SUPPORT LOCKDOWN NACHOTAKA SERIKALI KUKUBALI HILI TATIZO NA KUWAASA WATU WAWE MAKINI NA KUZUIA MIKUSANYIKO ISYOKUWA YA LAZIMA SIO KWENYE MAJUKWA KUIMBA NGONJERA WAZUNGU HAWATUPENDI WANATAKA KUTUFANYIA UPUUZI. TUWACHE UJINGA TUNA NINI KIKUBWA SISI? 90% TUNATEGEMEA VINAVYOTOKA KWAO.