Waziri wa Afya Oman: Asilimia 18% ya wasafiri wanaotokea Tanzania wamekutwa na maambukizi ya virusi vya corona, tunafikiria kusitisha safari za ndege

Hizo tiba za asili za malimao na kujifukizia zilijaribiwa wapi na lini zikaonyesha mafanikio?Na hayo mafanikio yalikuwa ni asilimia ngapi?Halafu hizo njia ulizotaja hapo juu mbona hazisaidii chochote?Kwa sababu watu wanazidi kupukutika deile!Ni sahihi kuendelea kukumbatia njia ambazo badala ya kusaidia watu zinaua watu?
 
 
Watakuwa wanatumiwa tu na mabeberu waarabu koko hao.

Hizi ni chuki tu za mabeberu kwa kipenzi cha Mungu Dkt JPM.

Watakuwa wanatuonea hivi tu kuwa tuko uchumi wa kati.

Au nasema uongo ndugu zangu?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Watakuwa wanatumiwa tu na mabeberu waarabu koko hao.

Hizi ni chuki tu za mabeberu kwa kipenzi cha Mungu Dkt JPM.

Watakuwa wanatuonea hivi tu kuwa tuko uchumi wa kati.

Au nasema uongo ndugu zangu?

Wapinzani waritucherewesha kwa maendereo
 
Ukipinga chanjo itabidi upinge Kila kitu, pinga madawa yote ya Kizungu, pinga elimu ya Mzungu, pinga simu ya Mzungu, Pinga dini ya Mzungu, au Kama vp tengeneza chanjo yako unayoiamini iweze kutusaidia, Ila kama unapiga porojo tu na hata nguo ulizovaa zimetoka kwa Wazungu basi hoja yko haina mashiko
 
Unajua kabla nilikua very against mh. Rais ila katika swala la Corona Niko nae bega kwa bega... Na hichi ulichoelezea ndio logic yake ambayo natamani wapinzani wenzangu waelewe waache ushabiki, hatuwezi iga Kila kitu especially vitu ambavyo hatujaona mafanikio yake.
 
Dunia kwa sasa inatakiwa kuwa makini sana na Tanzania kuliko hata corona, hebu fikilia hao ni wasafiri waliopimwa kabla ya kuondoka vipi walioko huko vijijini

Wuhan imerudi Tz.😭😭
 
Tanzania Ni Tajiri
Hao Wanatumiwa Na Mabeberu Sisi Hatutakubali
COVID 19 Hakuna Hapa Tanzania
 
Taarifa zilizopo ni kwamba huwa wanapimwa ila huwa wanapewa majibu ya uongo!Yaani unapigwa dola 100 kupima Corona ambayo utaambiwa huna hata kama unayo.
Ni mkweli kabisa hakuna anoambiwa kuwa anayo Kuna kesi nyingi sana nchi mbali mbali watu wanaonekana wanayo wakati wana vyeti negative kutoka Tanzania. Huu umekuwa mtaji mkubwa wakupata hizo dola.
 
Hivi kweli nchi za Africa ukiwa na corona huwezi toka nje ya nchi kama ukitoa bakhshish kidogo
Nimewaza tu jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…