hahahahahaaaa mkuu nilikuwa nimemaliza kakonyag kangu hapa skylounge nimechekaa mhudumu kauliza umefurahi nn..nkajibu leta konyagi ingine bana ...kutangulia kazi nduguu
Kwa uono wangu mimi naona tatizo limeanza kwa serikali kuwa na hii sheria ya PF3. Inatakiwa mgonjwa atibiwe halafu daktari atowe taarifa polisi na polisi waje wachukuwe maelezo. Nao ndio watowe PF3 hapohapo