Waziri wa Afya tusaidie kufuatilia daktari wa Lugalo aliyechangia kifo cha huyu dada

Waziri wa Afya tusaidie kufuatilia daktari wa Lugalo aliyechangia kifo cha huyu dada

hahahahahaaaa mkuu nilikuwa nimemaliza kakonyag kangu hapa skylounge nimechekaa mhudumu kauliza umefurahi nn..nkajibu leta konyagi ingine bana ...kutangulia kazi nduguu
 
Huyo DKt. Has a very cold heart.

How can you??
 
Kwa uono wangu mimi naona tatizo limeanza kwa serikali kuwa na hii sheria ya PF3. Inatakiwa mgonjwa atibiwe halafu daktari atowe taarifa polisi na polisi waje wachukuwe maelezo. Nao ndio watowe PF3 hapohapo
Hii itasaidia sana, ni wazo zuri
 
NCHI HII KILA MAHALI RUSHWA RUSHWA RUSHWA

ova
 
Back
Top Bottom