Hapo ndio hawajielewi. Vifo vitawaumbua kwa kweli.Ili tuamini idadi iliyotolewa awali ilikuwa na makosa. Sawa ila vifo vtawaumbua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiona hivyo ujue nyuma yao kuna wanaowachunguza,kwahiyo nina Imani mambo yatakuwa sawi tu...Hongera zake ingawa hii kamati haipo sawa/huru kwa sababu imesheheni wataalamu wetu wa afya ambao wanaweza kulindana kwa namna moja au nyingine. Ingekuwa vyema kama wataalamu wa kada zingine wangewekwa katika kamati hiyo ili kuweka mizani katika hali ya usawa.