Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, aagiza kusimamishwa kazi kwa Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii na Meneja udhibiti na ubora

Kwamba anatumika na mabeberu au sio?

Hivi kwanini amekuwa obsessed na mabeberu kiasi hicho?
Ni kwa sababu huwa wanamwambia ukweli naye siyo muumini mzuri wa hilo. Huyu Mzee anapenda mambo ya ufichoni na ndiyo sababu za kajificha huko.
 
Vita dhidi ya Corona imegeuka vita ya wenyewe kwa wenyewe. Hizo ndiyo hulka za Magufuli kwa kila jambo. Yani ni mvurugaji mtupu!
Too sad. Vifo vitawaumbua.
 
Mbuzi wa kafara...mbuzi wa kafara...lazima wapatikane.

Makinikia ya CORONA....

Everyday is Saturday......................... 😎
 
Serikali iliyo corrupt kila wakati huwa inawatupia lawama wasiohusika baada ya wao wenyewe serikali kushindwa kusimamia majukumu yao. Huu uamuzi unaongeza taharuki zaidi kitaifa na kimataifa
 
Maabara ya taifa ikigundulika na kasoro inakaguliwaga na wataalam kutoka huko mamlaka za duniani. Yani mnafanya mambo ya kipumbavu kabisa!
.Mambo ya makinikia yanajirudia kwenye corona.Ila idadi ya watu laki tatu ya Miguna Miguna nahisi ni ndogo
 
Dada yangu Ummy usijitoe ufahamu; hawa akina LYAMUYA, SHIRIMA, MARANDU, MSHANA, NA MSANGI wewe unajipenda ? ohoooo!!!! Yaani umekosa akina Masanja, Kobeho, Magige, Cheyo, hata akina Muras
Naona tumeaminiwa tena!!
 
Kwanini wasiajiri wachunguzi huru?
 
Maabara ya taifa wanatumia PCR. Sioni ajabu RNA ya Coronavirus kukutwa kwenye mbuzi,papai ama fenesi. Yatakuwa yalikuwa contaminated.

Otherwise ili kuleta confirmation walitakiwa same sample wapeleke kwenye maabara tofauti hata tano.

Hizo information moja tu haiwezi kukonclude kwamba mashine ni mbovu au wapimaji walikosea. The data is not sufficient kuwatuhumu watu.
 
Kuna wakati lazima utumie akili. Nchi huru kukaribisha wageni kwenye jambo la kinchi ni ukoloni mambo leo. Kwa mfano unakuwa na tatizo katika familia yako, unamwita jirani as if huna competent person anayeweza kusolve tatizo hilo ni ujuha. Jaribu kila wakati kuanza na wako ndipo uende nje. Issue nani analipa ni suala lisilo na mantiki
 
Bado Jiwe anaendelea kumlinda Ummy
 
K
Kwa Tanzania ya sasa ukisimamishwa kupisha uchunguzi ile nafasi yako sahau kabisa
 
Hivi Tanzania hatusomewi tena status ya maambukizi ya Corona tunaanza kuwasaka wanaopima corona????. Kwa hiyo tuna wa encourage kutoa majibu fake ya vipimo. Guess what ?

Unless madaktari waseme enough is enough na our professional must be respected la sivyo hakuna daktari yuko radhi kumwaga ugali wa watoto eti kwa kutoa majibu ya vipimo vya covid-19.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…