4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Husika na mada tajwa hapo juu,
Kwako Waziri wa Afya UMMY MWALIMU, kwanza nikupe pole na majukumu yako ya kila siku japo ni wajibu wako kuyatekeleza, na pili nikupongeze kama Mbunge na Waziri kwa jinsi mnavyoendelea kuwalimbikia watanzania Tozo wakiwemo wananchi wako katika jimbo lako la Tanga Mjini, na Sasa tunaelekea Burundi baki peke yenu mpaka 2026,
Lengo kuu la mada yangu ni kutaka kujibiwa swali kama waziri mwenye dhamana kwenye wizara husika,
Wapo Watarajali wanaoendelea na MAFUNZO ya utarajali nchi nzima katika hospitali mbalimbali Tanzania, taarifa nilizozipokea inasemekana tangu walipopewa posho zao za mwezi JUNE/2022 hamjawalipa tena mpaka leo hii, na Kama ndivyo
1. Shida nini mpaka kutowalipa posho zao mpaka Sasa , Ili hali wapo huko wanawapambania ndugu zetu wagonjwa?
2.Wewe binafsi malupulupu, Mshahara vikisimamishwa ndani ya miezi miwili utakuwa na molari ya kukaa kwenye V8? Kama sivyo kwanini mcheleweshe posho zao Ili Hali nao wana majukumu ya kukabiliana nayo.
Ningependa kabla ya kufika Burundi niwe na majibu, kama Serikali imefilisika pamoja na tozo zote nalo nijue