4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Waziri utukufu wa mungu ukawe juu yako, na nakupa pole na majukum yako kwa mbali sana maana ni kazi yako na ujira unalipwa hufanyi bure.
Naja kwenye dhumuni la andiko hili, moja kwa moja maana u waziri mwenye dhamana kwa hili.
Ndugu waziri chini ya wizara yako vipo vitengo vingi ambavyo kwa umoja wake ni kuratibu huduma ya mwananchi chini ya watumishi katika wizara yako, hapa namanisha watu.
Lab, nurses, Dr, watalaam wa vifaa tiba, makatibu wa afya n.k
Kumekua na tabia imejiambukiza katika wizara yako ya kuwa na utitiri wa vyama kwa kila kundi tajwa hapo juu ambazo ndani yake, ukiritimba, ubinafsi, utendaji kazi chini ya viwango, ufisadi kwa wanachama wao ni wa kiwango SGR, wakati makundi tajwa hapo juu lengo kuu ni moja mtumikia mgonjwa au mwananchi. Je, walijua hili? Kama ndio why huchukui hatua.
Leo Tz tunaweza kua na mifumo inayoendana kidunia ila sio lazima kufanana, that's hata marais wa afrika walivyoenda kumzika malkia walipandishwa daladala, ila biden hakupanda, maana yake sio lazima fanana ila laweza fanyika jambo na wao wakaja kuiga.
Swali la pili
Kama kweli vitengo vyote tajwa hapo juu ni kutoa huduma kwa mgonjwa, na kweli wawapo chini huko mikoani wanashirikiana sana, why kuwa na mavyama ya kila secta huko juu,kwani pitia wizara hakuwezi kuwa na chombo kimoja kinacho ratibu magroup yote?
Leo haya mavyama ndani ya secta hii ya afya sio watoa huduma tena wamekua sasa kama miradi ya utafunaji, kazi kila siku utaambiwa ni vikao tu hakuna tija pale, na uwezo wa kutatua matatizo ya wanachama wao hawana fuatilia.
Mwisho
Napendekeza kuwa na chombo kimoja tena pitia wizara ya afya ambacho kwa muunganiko wa mtu mmojammoja kutoka kila idara tajwa hapo juu anaweza kuwa ndani ya chombo hicho na kutenda kazi kwa ufanisi, kuliko ilivyo sasa, ni uhuni tu