#COVID19 Waziri wa afya wa Uingereza ajiuzulu kwa kuvunja sheria za corona

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Waziri wa afya wa Uingereza Matt Hancock amejiuzulu. Hancock amejiuzulu baada ya kuvunja sheria ya kuthibiti kuenea kwa virusi vya corona kwa kuweka umbali wa mtu mmoja hadi mwingine akiwa na msaidizi wake mkuu Gina Coladangelo anayedaiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi naye.

Gazeti la The Sun lilichapisha picha zilizoonekana kumuonesha Hancock na Coladangelo wakibusiana katika ofisi moja ya wizara hiyo ya afya. Katika barua yake ya kujiuzulu kwa waziri mkuu Boris Johnson, Hancock alisema kuwa serikali ina wajibu kwa watu wake ambao wamejitolea pakubwa katika janga la virusi vya corona, kuwa waaminifu kwao wakati imewakosea.

Hancock aliongeza kuwa anataka kusisitiza ombi lake la msamaha kwa kuvunja muongozo na kuiomba radhi familia na wapendwa wake kwa tukio hilo na kwamba anahitaji kuwa na watoto wake kwa wakati huu.
 
Naona pia raia wa nchi fulani pande za 'Caribbean' nao wanaendelea kusubiri [sana] waziri wao wa afya naye ajiuzulu baada ya waziri huyo kusababisha 'sintofahamu kubwa' kwa wananchi kuhusiana na janga la corona!

Anyway, tuzingatie taratibu zote rasmi za kujikinga na COVID-19 mahali popote tulipo ulimwenguni!
 
Pole yake sana, mapenzi ndiyo yamemponza... Corona ni kisingizio tu...
 
Waziri wa afya wa Uingereza Matt Hancock amejiuzulu. Hancock amejiuzulu baada ya kuvunja sheria ya kuthibiti kuenea kwa virusi vya corona kwa kuweka umbali wa mtu mmoja hadi mwingine akiwa na msaidizi wake mkuu Gina Coladangelo anayedaiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi naye.

Gazeti la The Sun lilichapisha picha zilizoonekana kumuonesha Hancock na Coladangelo wakibusiana katika ofisi moja ya wizara hiyo ya afya. Katika barua yake ya kujiuzulu kwa waziri mkuu Boris Johnson, Hancock alisema kuwa serikali ina wajibu kwa watu wake ambao wamejitolea pakubwa katika janga la virusi vya corona, kuwa waaminifu kwao wakati imewakosea.

Hancock aliongeza kuwa anataka kusisitiza ombi lake la msamaha kwa kuvunja muongozo na kuiomba radhi familia na wapendwa wake kwa tukio hilo na kwamba anahitaji kuwa na watoto wake kwa wakati huu.
 
Sasa akamalizia pale alipoachia masikini. Alizidisha maujuzi huenda
 
Hawa alimshawisi Adam kula tunda la mti wa kati kati mwa bustani.🙄🙄🙄
 
Amechoka kuishi maisha ya maigizo, akaona heri kujiweka waz ili apate pa kuanzia ktk kuutafta uhuru

Back
Top Bottom