Waziri wa Afya wa Zanzibar amedhibitiwa ? Taarifa za Corona zazimwa !

Waziri wa Afya wa Zanzibar amedhibitiwa ? Taarifa za Corona zazimwa !

Hivi nyinyi mlioshiba kwa nini mna hamu sana ya kuusikia ugonjwa ukienea? Hizo sio roho za kichawi? mtanisamehe lakini sipendi kusema hivyo.
Wewe kwann hutaki kujua idadi ya wanaopona na kufa na maambukizi ya korona kwa ujumla, ninahis wewe huna tofaut na ..ais wako akili tope unadhan kuficha uhalisia ndo kudhibit ugonjwa angalia kwa jicho la tatu kila siku mtu mmoja au wawili maarufu kwa wastan lazima afe je kwa wasiotangazwa ni qangapi. Ninachukia sana watu wenye mawazo kama yako maana nchi mumeipeleka kuzimu. Pumb.....f na leo kuna mkuu wa wilaya kasepa sasa tuone mwisho ni upi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom