Waziri wa Afya wa Zanzibar amedhibitiwa ? Taarifa za Corona zazimwa !

Waziri wa Afya wa Zanzibar amedhibitiwa ? Taarifa za Corona zazimwa !

... hueleweki! Kuuliza si kutaka kujua kile ambacho hukijui au huna uhakika nacho au una mashaka nacho? Ukishakuwa na uhakika kuna haja gani ya kuuliza?
Kaishasema huenda kapewa maelekezo si anajua anachouliza.
 
Nilikuwa nauliza tu.
Ile watu kudondoka na kufa kama kuku wa kideri mitaani inaanza lini.?.
Maana leo ni tarehe 7 mwezi wa 5.
Na corona nakumbuka iliingia 16 mwezi wa 3 kama nitakuwa sahihi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda wanasubiri kwanza riport ya uchunguzi wa Tume huru ya kukagua ubora wa upimaji wa sampuli pale kwenye Maabara ya Taifa. Wakibaini kuwa sampuli za mapapai zitatoa majibu ya Negative, nao wataendelea kutoa taarifa mpya za Wazanzibari. Kumbukeni huu ni mwezi mtukufu hakuna sababu ya kuficha ukweli wakati umefunga, huko ni kumkosea adabu Mungu.
 
Na bora zizimwe tu. Kila siku corona corona corona corona!

Taharuki kama mwisho wa dunia. HAPANA.

Zima kabisa hayo makorona bandia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukimya wa Wizara ya Afya ya Zanzibar kuhusiana na Taarifa za Maambukizi mapya ya corona umeleta mashaka makubwa , hakuna tena taarifa mpya kama Tanganyika wanavyofanya.

Wafuatiliaji wa mambo wana hofu kwamba huenda Mh Waziri kapokea maelekezo maalum , haiwezekani Tanganyika na Zanzibar kukosa taarifa zozote za corona kwa kipindi chote hicho .
Zanzibar kuna vifo 32
 
Ukimya wa Wizara ya Afya ya Zanzibar kuhusiana na Taarifa za Maambukizi mapya ya corona umeleta mashaka makubwa , hakuna tena taarifa mpya kama Tanganyika wanavyofanya.

Wafuatiliaji wa mambo wana hofu kwamba huenda Mh Waziri kapokea maelekezo maalum , haiwezekani Tanganyika na Zanzibar kukosa taarifa zozote za corona kwa kipindi chote hicho .
Itakuwa tayari kasha pigwa stop. Mkiichagua tena ccm nitawacheka saana.
 
Mataga bwana. Sasa mbona mimi ni mtanzania na hajaniwakilisha!
Hii ilitokea Tanga wilaya M. Kuna mganga fulani alikua mganga akaona akatoe huduma za kiganga wilaya M akitokea wilaya K. Basi alifikia nyumba ya jamaa mmoja na kumueleza kwamba amekuja hapo kutoa huduma kama kuna mwenye tatizo lolote aje. Basi mganga akapewa chakula akala na kupewa mahali pa kulala. Muda kufika akaenda kulala na mikoba yake. Kulipokucha adibuhi mganga alijikuta yuko nyumbani kwake wilaya K na mke wake na mikoba yake
Hakuna haja ya maneno mengi , kichwa cha habari kinajieleza .

Nimeamua kwa moyo wa dhati kabisa uliojaa upendo mkuu kuwatakieni Heri ya View attachment 1308792 viongozi , wanachama na wapenzi wote wa Chadema ikiwa ni pamoja vyama rafiki vyote tunavyoshirikiana navyo kwenye harakati za ukombozi wa nchi yetu .

Salamu zangu zingine za mwaka mpya ziwafikie wafungwa na mahabusu wote waliofungwa na kuwekwa kizuizini kwa uonevu , natuma salamu maalum kwa familia za wafungwa hawa popote zilipo nchini na nawaambia kwamba Mungu hajawatupa .

Mwisho: Huu ndio mwanzo wa harakati za uchaguzi mkuu , mapambano yaendelee .

View attachment 1308818
Mungu atujalie Afya njema, akili timamu, nguvu za kutosha ili tuweze kupambana ipasavyo kulikomboa Taifa kutoka kwa Mkoloni mweusi
Mwamba kamanda wa anga Tuvushe

Sent using Jamii Forums mobile app
Kila la heri makamanda
Naamini Rais Kikwete angetumia mamlaka yake kukamilisha mchakato wa Katiba mpya kwa misingi ya rasimu ya tume ya Warioba angebaki madarakani hadi leo hii kwasababu zifuatazo:

1. Kwanza angejijengea heshima na upendo mkubwa sana kwa Watanzania kwa kuwaletea Katiba mpya iliyo bora kuliko hii tuliyonayo.

2. Pili kwa kufanya hivyo angestahili kugombea urais chini ya Katiba mpya na angeshinda kutokana na kuwaletea Watanzania Katiba mpya.

Kwahiyo Rais JPM anaweza kufanya kile alichokataa Kikwete katka kipindi hiki kwa kutumia mamlaka aliyonayo kuepusha sintofahamu iliyopo kuelekea November 2020. Afanyeje?

1. Akamilishe mchakato wa Katiba mpya kwa misingi ya rasimu ya tume ya Warioba kwa mamlaka aliyonayo hata ikibidi aahirishe Uchaguzi Mkuu.

2. Apunguze idadi ya wizara na mikoa na wilaya, pamoja ukubwa wa Serikali kubana matumizi na kuongeza ufanisi.

3. Apunguze idadi ya wabunge/majimbo ya uchaguzi kwa madhumuni ya hapo juu.

4. Uchaguzi Mkuu chini ya Katiba mpya na tume HURU ya uchaguzi, ufanyike miaka 2 baada ya November 2020 ili kuimarisha mfumo mpya wa demokrasia nchini na kukabiliana na majanga yaliyoko mbele yetu bila kuingiliana na masuala ya kampeni na vurugu za uchaguzi.

Kwakufanya hivyo JPM atajijengea upendo mkubwa sana na heshima ya Watanzania kwa kuwaletea Katiba mpya.

Miradi mbalimbali ya maendeleo aliyoianzisha atakuwa na muda mzuri wa kuikamilisha kwakuwa ataendelea kubaki madarakani chini ya Katiba mpya na Serikali mpya itakayokidhi viwango vya hapo juu.

Vilevile kwa ufanisi utakaotokana na Katiba mpya, demokrasia na misingi ya haki za binadamu na Utawala Bora uchumi wa nchi na wananchi utaboreshwa, mapato ya Serikali yataongezeka na uwezo wa kuhudumia wananchi utaongezeka.

Hiyo ndiyo njia pekee ninayoiona ya kurudisha umoja, amani, upendo na mshikamano katika nchi yetu ili tukabiliane na majanga yaliyoko mbele yetu. JPM peke yake, hawezi. CCM peke yake haiwezi. Chadema au ACT, CUF, NCCR; Mbowe peke yake au Zitto, Lissu, Maalim Seif na wengine peke yao hawawezi.

Lakini Watanzania kwa ujumla wetu chini ya Katiba mpya na tume HURU ya uchaguzi chini ya Rais John Pombe Joseph Magufuli, akiamua kutumia mamlaka aliyonayo kuepusha sintofahamu inayotukabili kisiasa, kiuchumi, na majanga yaliyoko mbele yetu tunaweza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nawaza hivi mtu kama gwajima ataenda mbinguni kweli maana matendo yake yananifanya niamini Gwajima ni tawi la mti ambao mizizi yake imechipua kutoka kwenye crotch au kichwa cha ibilisi
nyingine ni vyakula jamani huwa wanakua na wali na chipsi tu looooh chipsi nyama za 3500 hazifananiiii yaani ni chipsi kavu na vinyama vichache

Wali nyama 3500 haufananii kabisa na hiyo bei ghali halafu msosi wenyewe
Tanganyika 16 tu !
Ajabu!
 
Back
Top Bottom