Unajidanganya.Anamtishia nyani fimbo huyo hajui wingi wetu.
Tabora, Mwanza, Shinyanga, Geita, Simiyu, kote huko ni mikoa yetu.
Hii mingine tuna territory kabisa yani zimeshakua zetu.
Katavi, Singida, Mbeya, Rukwa yani huku kote kuna maeneo yanaitwa ya wasukuma
SIO wasukuma wote...wengine ni ma BOYA TU!Na ndo maana msukuma anaishi popote na mtu yoyote,sema ukimzingua ndo utajua kwa nini shoka liliungua na mpini ukabaki
Sent using Jamii Forums mobile app
Wahindi 12,000 tu wanatosha kuchunga ng’ombe wote hao.Anamtishia nyani fimbo huyo hajui wingi wetu.
Tabora, Mwanza, Shinyanga, Geita, Simiyu, kote huko ni mikoa yetu.
Hii mingine tuna territory kabisa yani zimeshakua zetu.
Katavi, Singida, Mbeya, Rukwa yani huku kote kuna maeneo yanaitwa ya wasukuma
Gwajima anatumika tu kukamilisha mpango wa jiwe.....yeye alisewa watu wa kaskazini hii sio zamu yao alafu akabomolea watu hovyo maeneo memngi lkn alipofika mwanza alisema hawa ndo walionipa kura......Unajua jiwe anamipango mingi sn mibaya kuhusu hii nchi ndo maana kila ziara ni mwanza chato...................chato chato chato.....anataka kupeleka hata mlima kilimanjaro chato
Wale waliokuwa wakimsifu na kumpongeza Gwajima wkt wa Makonda ngoja tuone kama na hapa wanampongeza na kumsifu kwa kila aina ha majina
Sent using Jamii Forums mobile app
NIMEKUEREWA! mkuu!BLACKTIGER Sawa nimekuelewa,,ila hapo nilikua nam quote alieanza ubaguzi,,Mara nyingi humu wasukuma wanatajwa vibaya ila wanaofanya hivyo hawaonekani wabaguzi,Ila wasukuma wakifanya kitu kidogo tu wanaonekana wabaguzi ila wao wasukuma wakibaguliwa na kutukanwa inaonekana sawa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahaaa,,!!!,,Ndio mkuu watu wote hatuwezi kuwa sawa,SIO wasukuma wote...wengine ni ma BOYA TU!
Wahindi ng'ombe ni miungu wao,Wahindi wanaheshimu sana ng'ombe,Wahindi 12,000 tu wanatosha kuchunga ng’ombe wote hao.
Ndiyo, ni sawa tuBLACKTIGER Sawa nimekuelewa,,ila hapo nilikua nam quote alieanza ubaguzi,,Mara nyingi humu wasukuma wanatajwa vibaya ila wanaofanya hivyo hawaonekani wabaguzi,Ila wasukuma wakifanya kitu kidogo tu wanaonekana wabaguzi ila wao wasukuma wakibaguliwa na kutukanwa inaonekana sawa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kanianza lkn angalia juu hapo kanitukana,nina haki ya kujilinda mm ni hayatolah ukinianza mi namalizaDuh!
utaua mzee