Kamati ya Amani ya Maaskofu na Mashekhe yamuonya Askofu Gwajima

Kamati ya Amani ya Maaskofu na Mashekhe yamuonya Askofu Gwajima

Hao ni akina Mwamposa wanaua watu 20 halafu kesho yake wanatunukiwa degrii ya heshma.
Mwamposa aliuwaje hao watu embu tupe ushahidi alivyoua tukamshitaki na kumbuka ni kosa la jinai kumsingizia mtu kitu ambacho hajafanya ukibainika umekula wa maharage!

Tukimalizana na Mwamposa tuhamie Makkah kabisa tukawashitaki kuanzia mwaka 1990-2019
 
Wewe soma vizuri kwanini huyu askofu amefanya makosa makubwa acha kupotosha watu. Ukabila wa wasuk umesambaa kila mahali na ni hatari kwa ustawi tuliojijengea tangu awali. Ni mwisho kuchagua kutoka huko...
Mnamshambulia Gwajima kwa sasa, mbona yule anayehutubia *Kisukuma* kila anapokwenda Kanda ya Ziwa hamumsemi? Hatujawahi kuona Waziri Mkuu akieongea lugha yake ya Asili hata anapokuwa Ruangwa achilia mbali Lindi au Mtwara?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajidanganya.

Ukweli ni kuwa mikoa unayoitaja wasukuma halisi si wengi ki hivyo. Hii mikoa ni mikoa ya kibiashara , wahamiaji ni wengi kuliko wenyeji. Mfano ni mji wa mwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
BAHAHAHAHAHAHA!
Mwanza ina wahamiaji ndio lakini hawawezi kutu-outnumber wasukuma.

Ukienda city center utakutana na wasukuma wanaoishi hapo si wengi sana lakini ukisogea nje kidogo ni tumejaa sana, ukienda Misungwi, Ngudu, Sengerema, Ukerewe kwa Wajita pia tumewa-outnumber Kwimba huku ndio kama hujui kisukuma utapata tabu sana n.k

Geita nadhani hupajui ni mji wa madini ila wageni si wengi kutuzidi yani tumejaa hadi kero.
Simiyu huku bhabha ukipelekwa kikazi umeisha maana lazima siku ukienda kusalimia kwenu uwe na lafudhi ya kwetu.
Shinyanga as usual ndio makao makuu yetu Gamboshi kuu ipo kule.
Tabora yani huwezi kuelewa yupi msukuma yupi mnyamwezi na huu ni mkoa naweza kusema pekee watu bado wanafanya biashara kwa kuzungumza kisukuma + kinyamwezi kiswahili cha kuiba sana.

Singida kuna sehemu nakwambia wenyeji unakuta hata watatu tu au hukuti kabisa, Katavi mjini tumeshapateka nje ya mji nako ni sisi tu, Rukwa hadi utajiuliza tumefata nini mbona tumezidi na sisi ndio tunaroga sana, Mbeya huku sisemi nenda ukajionee ila usije unalia kwa utakachokiona
 
Kwamba wasukuma ni zaidi ya million 25 eti...mko wengi ila akili nukta ...yaani mikoa mi5 inaweza kuzidi mikoa 26 inayobakia kwa idadi ya watu ...

Barabangoshaaa usitumie nguvu fikiri kabla ya kuandika

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio mikoa mitano ni zaidi ya mitano alafu mimi sijasema kokote tuko 25 million!
Kwanini nasema ni zaidi ya mitano, kwanza tuko kila mahala na huko tuna territory zetu kubwa sana ningetamani kuujua mkoa wako ili nikutajie ngome zetu uende ukashangae.

Wasukuma tuko zaidi ya 20% ya hii nchi kwa 2019 estimation na tunazidi kukua
 
Kwa hiyo ukikosa kura kutoka 80% bado ytachukua nchi?
 
Sio mikoa mitano ni zaidi ya mitano alafu mimi sijasema kokote tuko 25 million!
Kwanini nasema ni zaidi ya mitano, kwanza tuko kila mahala na huko tuna territory zetu kubwa sana ningetamani kuujua mkoa wako ili nikutajie ngome zetu uende ukashangae.

Wasukuma tuko zaidi ya 20% ya hii nchi kwa 2019 estimation na tunazidi kukua
Narudia tena kusema kuna umuhimu wa kutumia akili zaidi kuliko nguvu..makabila mengine hayako kila mahali au hayana ngome kwenye mikoa ya watu... Kama mko zaidi ya nusu ya watanzania inamaanisha mko zaidi ya 25 million ..Tanzania inakadiriwa kuwa na watu 50 million

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alipaswa kufikishwa mahakamani kwa vitendo vya uchochezi sio kuonywa, ameshaonywa mara nyingi sana mtu huyu.
 
Dah!..nyuzi kama hizi zitafukuliwa sana kipindi hiki.
 
Askofu anawapiga mauno waumin wake kwa bidii.
 
Hamna majitu mashamba , majinga na malimbukeni kama haya majitu masukuma , hovyo kabisa .
Unajua hata wakoloni hawakuwa wajinga kuyapa baadhi ya makabila kazi za ukuli WA kubeba mizigo na kuwa vibarua mashambani .
Ni makosa makubwa kumpa kazi nyapala kuwa mkuu wa gereza.

Kutamka neno "majitu" sio vizuri mkuu, kuwa na hekma! wasukuma pia ni binadamu kama wewe. Je, kabila lenu mkiambiwa "Hamna majitu mashamba , majinga na malimbukeni kama haya majitu masukuma , hovyo kabisa" utapendezewa?

DeWitt J
 
Back
Top Bottom