MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,700
- 71,123
Kwani ni kosa kikatiba au kisheria?Gwajima alikuwa mjumbe wa kamati ya Chadema!
Kwani ni kosa kikatiba au kisheria?Gwajima alikuwa mjumbe wa kamati ya Chadema!
Hata kuongea kisukuma siyo kosa kisheria bwashee!Kwani ni kosa kikatiba au kisheria?
Usibadili kosa kuwa lugha, we mzee wa kisukumaHata kuongea kisukuma siyo kosa kisheria bwashee!
Hahahaaaaaa.......!Usibadili kosa kuwa lugha, we mzee wa kisukuma
Wewe la hovyo sana, Wasukuma naona hutujui kwanza tuko kila mahala pili tunauwezo wa kufanya lolote na usinyanyue bakuli lakoWewe soma vizuri kwanini huyu askofu amefanya makosa makubwa acha kupotosha watu. Ukabila wa wasuk umesambaa kila mahali na ni hatari kwa ustawi tuliojijengea tangu awali. Ni mwisho kuchagua kutoka huko...
Anamtishia nyani fimbo huyo hajui wingi wetu.Wewe mpuuzi kweli,wasukuma peke yao na kwa umoja wao wanao uwezo wa kupiga kura na kumpitisha raid,eti mwisho kuwapa madaraka, poor
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulimhola bhabha lakini uli ntumbavu sanaHata kuongea kisukuma siyo kosa kisheria bwashee!
Mwisho kuchagua kwani unachagua ww,,,wenye nchi ndo wanaamua nani awe rais na sio wwWewe soma vizuri kwanini huyu askofu amefanya makosa makubwa acha kupotosha watu. Ukabila wa wasuk umesambaa kila mahali na ni hatari kwa ustawi tuliojijengea tangu awali. Ni mwisho kuchagua kutoka huko...
Acha ungese mkuu unaona ni jambo la kutetea hilo?Gwajima ni msukuma sasa akiongea ama kuandika kisukuma ndo iwe kuligawa taifa,,!!!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wasukuma wapo wengi sawa lakini sio ni tija mkuu...usukuma Hauwakilishi Nchi ni kabila tu!Huo ndo ukweli,mikoa hii inakaliwa na wasukuma,theni tafuta idadi ya watu kuwa kila mkoa ndo utajua. Wingi wa wasukuma,mwanza,shinyanga,tabora,simiyu,na geita huko ni wasukuma tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanza.Ndio ujinga wa watu huo ooh tupo wengi kama ng'ombe.
Kwamba wasukuma ni zaidi ya million 25 eti...mko wengi ila akili nukta ...yaani mikoa mi5 inaweza kuzidi mikoa 26 inayobakia kwa idadi ya watu ...Anamtishia nyani fimbo huyo hajui wingi wetu.
Tabora, Mwanza, Shinyanga, Geita, Simiyu, kote huko ni mikoa yetu.
Hii mingine tuna territory kabisa yani zimeshakua zetu.
Katavi, Singida, Mbeya, Rukwa yani huku kote kuna maeneo yanaitwa ya wasukuma
Ilete na kwa kichaga!Ulimhola bhabha lakini uli ntumbavu sana
Una maana gani mkuu..kama unapenda kabila lako basi acha uchochezi!Mwanza.
Shinyanga.
Simiyu.
Geita.
Mikoa minne ya wasukuma nambie ww kabila gani lenye mikoa minne tofauti na wasukuma ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wasukuma mpo juu ila sio wabaguzi!Sawa nimekuelewa,,ila hapo nilikua nam quote alieanza ubaguzi,,Mara nyingi humu wasukuma wanatajwa vibaya ila wanaofanya hivyo hawaonekani wabaguzi,Ila wasukuma wakifanya kitu kidogo tu wanaonekana wabaguzi ila wao wasukuma wakibaguliwa na kutukanwa inaonekana sawa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ndo maana msukuma anaishi popote na mtu yoyote,sema ukimzingua ndo utajua kwa nini shoka liliungua na mpini ukabakiWasukuma mpo juu ila sio wabaguzi!