Nawatakia heri ya Mwaka mpya wa 2020 Viongozi, wanachama na wapenzi wote wa Chadema nchi nzima. Mungu yuko pamoja nanyi

Nawatakia heri ya Mwaka mpya wa 2020 Viongozi, wanachama na wapenzi wote wa Chadema nchi nzima. Mungu yuko pamoja nanyi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
Hakuna haja ya maneno mengi, kichwa cha habari kinajieleza.

Nimeamua kwa moyo wa dhati kabisa uliojaa upendo mkuu kuwatakieni Heri ya:

FB_IMG_1577728279305.jpg


Viongozi , wanachama na wapenzi wote wa Chadema ikiwa ni pamoja vyama rafiki vyote tunavyoshirikiana navyo kwenye harakati za ukombozi wa nchi yetu .

Salamu zangu zingine za mwaka mpya ziwafikie wafungwa na mahabusu wote waliofungwa na kuwekwa kizuizini kwa uonevu , natuma salamu maalum kwa familia za wafungwa hawa popote zilipo nchini na nawaambia kwamba Mungu hajawatupa .

Mwisho: Huu ndio mwanzo wa harakati za uchaguzi mkuu , mapambano yaendelee.

A dreamer be the one  A winner be the one  A fighter be the one.jpg
 
Tunashukuru sana kamanda na bado tuendelee kumuomba mwenyezi Mungu atusimamie na kututia nguvu na uvumilivu wa kufanya siasa za kistaarabu ili tusiwe chanzo cha mitafaruku.
 
Ni mwaka wa uchaguzi tusimame imara kupinga udikteta na ubadhirifu wa mali za taifa.
 
Back
Top Bottom