Waziri wa Ardhi awakabidhi Yanga hati yao ya kujenga uwanja

Waziri wa Ardhi awakabidhi Yanga hati yao ya kujenga uwanja

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Waziri wa Ardhi Deogratius J. Ndejembi leo katika kilele cha wiki ya mwananchi katika dimba la Benjamin Mkapa amaekabidhi hati kwa klabu ya Yanga ili waweze kujenga uwanja wao pale Jangwani

 
Ndio, walishanunua huo uwanja. Wakaboresha zaidi kuchangia chama tawala mil 100. Kwa hivyo ni lazima mambo yaende sawa.
 
Back
Top Bottom