Waziri wa Biashara awajibu wafanyabishara wa Kariakoo baada ya kutoka Ikulu

Waziri wa Biashara, Ashatu Kijaji amewajibu wafanyabishara wa Kariakoo kuwa kilichotokea ni sehemu ya hatua za kimaendeleo na kwamba biashara sio Vita.

Kupitia ukurasa wake wa Instragram Waziri Kijaji ameandika hayo leo

ashatukijaji

Yaani kiongozi wa Umma anaweka akaunti yake private? Hiyo ni wizara yake binafsi? Au kama ni hivyo kwa nini asiongee kwa platform rasmi za serikali? Biashara sio vita?! Amewahi kufanya biashara huyu?! Biashara ni vita, ndio maana tunapigana vita ya kiuchumi na Kenya na Mabeberu kila siku!
 
Ni kweli biashara sio vita, lakini wafanyabiashara wanastahili kupunguziwa mzigo wa kodi kandamizi, kwani uwepo wa hizo kodi zinazowaumiza wafanyabiashara ndiko kunakofanya biashara ionekane vita.

Huo mtazamo ndio unaakisi kile walichozungumza walipokutana ikulu, naamini mpaka kufikia hapo hakuna yeyote atakayewajibishwa, ni business as usual, wacha Mwigulu atambe tu kwa selfie Kariakoo, awamu laini sana hii.
 
Yaani kiongozi wa Umma anaweka akaunti yake private? Hiyo ni wizara yake binafsi? Au kama ni hivyo kwa nini asiongee kwa platform rasmi za serikali? Biashara sio vita?! Amewahi kufanya biashara huyu?! Biashara ni vita, ndio maana tunapigana vita ya kiuchumi na Kenya na Mabeberu kila siku!
Anayesema biashara sio vita hajawahi kuuza hata ubuyu.kila kitu tunamgharamikia na mshahara mnono
 
Waziri wa Biashara, Ashatu Kijaji amewajibu wafanyabishara wa Kariakoo kuwa kilichotokea ni sehemu ya hatua za kimaendeleo na kwamba biashara sio Vita.

Kupitia ukurasa wake wa Instragram Waziri Kijaji ameandika hayo leo

ashatukijaji

Mungu ingilia kati uliokoe hili taifa na kama kuna mahali tulikokosea sana hasa kwenye lile kafara la kukimbiza moto! Mungu baba batilisha viapo, laana na malipizi yote

Kwa waaamini na waaminio wote tuseme AAAMEN [emoji1545]
 
IMG_0921.png

Ukishaona kiongozi anaweka private account jua kwamba hana hoja, hajiamini, anaogopa kukosolewa. Uongozi wa kupeana matokeo ndo haya.
 
Mungu ingilia kati uliokoe hili taifa na kama kuna mahali tulikokosea sana hasa kwenye lile kafara la kukimbiza moto! Mungu baba batilisha viapo, laana na malipizi yote

Kwa waaamini na waaminio wote tuseme AAAMEN [emoji1545]
Toka Mambo ya Maridhiano yaanze,watawala wamekua jeuri mara mbili,hawana uwoga tena na Upinzani!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Mungu ingilia kati uliokoe hili taifa na kama kuna mahali tulikokosea sana hasa kwenye lile kafara la kukimbiza moto! Mungu baba batilisha viapo, laana na malipizi yote

Kwa waaamini na waaminio wote tuseme AAAMEN [emoji1545]
Imagine Waziri wa viwamda na biashara anasema Biashara sio Vita? Mungu atusaidie tu, huyo mama kama amewahi kufanya hata biashara ya ubuyu, niitwe mbwa!
 
Siyo vita! wakati nchi zote duniani zinapigana vita ya kiuchumi kuhakikisha biashara kwenye nchi zao zinashamiri, kwa kuiba hata idea na techniques kutoka nchi nyingine. Hadi washauri majasusi wa kiuchumi wapo ili kuhakikisha nchi Ina prevail kiuchumi. Huyu mama bhana? 😊
 
huyu Mama alikuwa under pressure wakati wa Magu mpaka akalia jukwaani siku moja kwao Kondoa huko alikuwa na bifu na mkubwa mwenzie mmoja...

sasa hivi hawa viongozi wako freeeee wanajifanyia lolote, bosi wao anajiita Mama yao....

Wakati wa JPM kila kiongozi alikuwa kasimama attention saa zote, na ndio viongozi wa nchi tajiri walivyo, under constant pressure, ukichemka kidogo tupa kule....
 
Kwa kauli hiyo naona kabisa hii lugha adhimu kabisa ya kiswahili tumeelewana, bado kuidhinisha tu
 
Back
Top Bottom