Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu mtu kama huyo ndio waziri wa biashara kabisa , just imagine!!Siyo vita! wakati nchi zote duniani zinapigana vita ya kiuchumi kuhakikisha biashara kwenye nchi zao zinashamiri, kwa kuiba hata idea na techniques kutoka nchi nyingine. Hadi washauri majasusi wa kiuchumi wapo ili kuhakikisha nchi Ina prevail kiuchumi. Huyu mama bhana? 😊
Hata sungura alizita ndizi sukari zilizoiva viurii,mbichi zina ukakasi[emoji2957][emoji2957]
Hatari sanaImagine Waziri wa viwamda na biashara anasema Biashara sio Vita? Mungu atusaidie tu, huyo mama kama amewahi kufanya hata biashara ya ubuyu, niitwe mbwa!
Imagine Waziri wa viwamda na biashara anasema Biashara sio Vita? Mungu atusaidie tu, huyo mama kama amewahi kufanya hata biashara ya ubuyu, niitwe mbwa!
Ukweli ndiyo huo bila vita hakuna mafanikio.Maisha yenyewe ni VITA
Hajuwi hilo
Ova
Yaleyale ya kuunga Juhudi, ni sawa na Maridhiano kwa sasa!! Hakuna jipya!!!Upinzani wa Chopa!
Nimeona account ya public figure klo private nabaki nachekaYaani kiongozi wa Umma anaweka akaunti yake private? Hiyo ni wizara yake binafsi? Au kama ni hivyo kwa nini asiongee kwa platform rasmi za serikali? Biashara sio vita?! Amewahi kufanya biashara huyu?! Biashara ni vita, ndio maana tunapigana vita ya kiuchumi na Kenya na Mabeberu kila siku!
amejibu kwenye account private hahahaaaAmeweka account private. Tatizo ni hawa maGodfather
Raisi anashindwa kumtumbua sababu yao
Hawa ndio wale wanasoma biashara darasani tu..sio fieldImagine Waziri wa viwamda na biashara anasema Biashara sio Vita? Mungu atusaidie tu, huyo mama kama amewahi kufanya hata biashara ya ubuyu, niitwe mbwa!
Wewe ni mwalimu wa shule gani?Duuh sasa mama wa watu kakosea nini kusema hivyo?
Watanzania tuna stress nyingi mpaka kila jambo tumeligeuza kuwa confrontation
Bado, tunasubiri tamko lake, anaeona VAT 100mil. ni kiwango kidogo ahamie Comoro 😂😂😂Mwigulu vipi hajatukana kwamba wasiokubali wahamie Sudani?
Naunga mkono hoja kwa 100%.Biashara ni vita, ndio maana tunapigana vita ya kiuchumi na Kenya na Mabeberu kila siku!
Ya chekecheaWewe ni mwalimu wa shule gani?
Waziri wa Biashara, Ashatu Kijaji amewajibu wafanyabishara wa Kariakoo kuwa kilichotokea ni sehemu ya hatua za kimaendeleo na kwamba biashara sio Vita.
Kupitia ukurasa wake wa Instragram Waziri Kijaji ameandika hayo leo
ashatukijaji
Hatajulia wapia hayo mambo mtu anaishi bure bure , hajawahi kuuza hata nyanya chunguNaunga mkono hoja kwa 100%.
Kwani wakati walipokuwa wanawaua, kuwashambulia na kuwafunga wapinzani walikuwa na uoga na upinzani?Toka Mambo ya Maridhiano yaanze,watawala wamekua jeuri mara mbili,hawana uwoga tena na Upinzani!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Anashinda Zbar .....sikukuu zote anakimbilia kule ndio silaha yakeSwahiba wa saa100 ni mweupe kichwan haswa
Mkuu ningependa Siku moja utupie Uzi kuhusu hiyo kafara naona unaijua vizuri,Mungu ingilia kati uliokoe hili taifa na kama kuna mahali tulikokosea sana hasa kwenye lile kafara la kukimbiza moto! Mungu baba batilisha viapo, laana na malipizi yote
Kwa waaamini na waaminio wote tuseme AAAMEN [emoji1545]