Waziri wa Biashara awajibu wafanyabishara wa Kariakoo baada ya kutoka Ikulu

Halafu mtu kama huyo ndio waziri wa biashara kabisa , just imagine!!
 
Nimeona account ya public figure klo private nabaki nacheka
 
Duuh sasa mama wa watu kakosea nini kusema hivyo?

Watanzania tuna stress nyingi mpaka kila jambo tumeligeuza kuwa confrontation
 
Waziri wa Biashara, Ashatu Kijaji amewajibu wafanyabishara wa Kariakoo kuwa kilichotokea ni sehemu ya hatua za kimaendeleo na kwamba biashara sio Vita.

Kupitia ukurasa wake wa Instragram Waziri Kijaji ameandika hayo leo

ashatukijaji


Atakuwa amepashwa
 
Mungu ingilia kati uliokoe hili taifa na kama kuna mahali tulikokosea sana hasa kwenye lile kafara la kukimbiza moto! Mungu baba batilisha viapo, laana na malipizi yote


Kwa waaamini na waaminio wote tuseme AAAMEN [emoji1545]
Mkuu ningependa Siku moja utupie Uzi kuhusu hiyo kafara naona unaijua vizuri,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…