Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekonolojia, Dkt. Adolf Mkenda amesema wizara hiyo itatuma timu ya wataalam Shule ya Sekondari Baobab iliyopo Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani kuchunguza kwa kina sakata la video zinazosambaa mtandaoni ambazo ni kinyume na maadili ya Kitanzania.
Soma pia: DOKEZO - √ - Mmomonyoko wa maadili shule ya Baobab, Mamlaka ziko kimya
Waziri Mkenda ametoa kauli hiyo mkoani Morogoro, wakati wa warsha ya tathmini ya utekelezaji wa kazi za mradi wa kuimarisha ubora wa elimu ya sekondari nchini