B M F ICONIC
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 824
- 1,631
kuna video ile ya nyimbo ya JB. Iyo video n ya kitambo sana na wale watu hawangei kiswahili . Toka iyo nyimbo y 'Sorry' imetoka mpa sasa n almost 8 yrs itakuaje hiyo clip iwe ya hv karbun. Wakat huko telegram grps video ina miaka mngi na inasemekan n wa malawiWatoto hao wanabanduliwa muda huu wanachunguza nini na wanasema hio video sio ya leo wala jana hao mabinti wanaoonekana sasa hivi wapo vyuoni huko