Waziri wa Elimu ataka shule ya Baobab kuchunguzwa kisa video chafu zilizosambaa

Waziri naye aliona, haya wale shule za international wamepata majibu yao.
 
Kwaiyo unashauri serikali waache lipite tu bila kuchukua hatua kisa wewe mkuu wa shule ya Baobab umeshauri ivyo? Maana we ni mtumishi wa hapo kwenye iyo shule.
Kuchunguza unataka uone nini Waziri unachotaka kukiona Mkeo hana?
 
Ukikaa kimya, shida!
Ukiongea, shida!

Ndio tulivyoumbwa binadamu
 
Kumbe waziri Naye aliziona hizo picha za xx.duh noma sana
 
We unajua zaidi kuliko kiongozi wa serikali,huyo ni waziri wana wataalamu kibao wa kila nyanja, au we unajua zaidi mkuu
Hao unao waita wataalamu nao ni binadamu kama ww mkuu...Wanaweza kuwa sawa na wanaweza kukosea pia.
 
Kumbe Waziri naye ameona CONNECTION ya BaoBab!
 
Kama ilivyo asilimia kubwa ya wantanzania, hawa viongozi wanajali ngono tu.
 
Hizo video zilikuwa kuchafua tu iyo shule.
ZImechukuliwa tu huko mtandaon zikapewa wahusika. Uwo n Utafiti wangu nisha fanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…