kuna video ile ya nyimbo ya JB. Iyo video n ya kitambo sana na wale watu hawangei kiswahili . Toka iyo nyimbo y 'Sorry' imetoka mpa sasa n almost 8 yrs itakuaje hiyo clip iwe ya hv karbun. Wakat huko telegram grps video ina miaka mngi na inasemekan n wa malawi