kamili
JF-Expert Member
- Feb 10, 2011
- 1,219
- 855
Mh. Pamoja na kwamba kuna usemi: don't judge book by its cover, uhalisia ni kwamba wakati mwingine umbile la nje la kitabu linaakisi yaliyo ndani. Kwa binadamu mavazi yako yanaakisi hadhi yako, kwa vitu kama magari, simu, nyumba nk. Umbo la nje linaakisi hali ya ubora iliyop ndani ya vitu hivyo.
Nimeshtushwa sana kuona fomu ya kujiunga ya sekondari ya wasichana ya Beatrice Shelukindo ina mapungufu ya kutisha.
Fomu hiyo inapatikana katika mtandao wa wizara kama kiambatanisho kwa waliochaguliwa kujiunga na shule hiyo: Uchaguzi wa Kidato cha Kwanza, 2026
Mapungufu yaliyo kwenye fomu hiyo huenda yakaashiria, udhaifu wa weledi wa kiongozi wa shule hiyo, au ushirikishwaji mdogo wa watendaji, au udhaifu wa wasimamizi, au kutojali, au uduni wa taaluma ya elimu na ualimu au vyote na zaidi kwa pamoja.
Naomba uipitie fomu hiyo nimeiambatanisha hapa chini.