Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Muda mdogo uliobaki afanye mtihani ni muda gani?Kuna kijana wangu mmoja yuko la saba, hivi karibuni nikajulishwa hawatarudi mpaka tareh.23; mi nimeona ni vizuri tu kwa faida yake, kwa sababu muda uliobaki ni mfupi sana kwa mtihani, akija nyumbani atachanganya mafaili au kupoteza ile mudi ya kufanya mtihani...
Kama miezi mitatu tuMuda mdogo uliobaki afanye mtihani ni muda gani?
Huu ulimwengu wa kibepari huu, usipopambana na vijana wako, watakuja kuwa wafungua mageti kwa watu.Muongozo gani?
Watoto wa wenye mamlaka wanasoma Nje na International schools,unataka wakupangie maisha ya mtoto wako?
Panga mwenyewe,mrudishe nyumbani acheze game likizo yote.
Baada ya hapo utakaa naye miezi mitatu mpaka umchokeMiezi mingi sana hio,kama akipumzika wiki tatu ina athari gani?ila kama kwako ni sawa basi ni sawa
Haikua na ulazima kwako kuchangia huu ujinga ungebak nao tuKwani mtoto wako akibaki nyumbani anafukuzwa shule?
Mpeleke shule za serikali ambazo hawabaki.
Mkuu hata huko changamoto za michango hazivumiliki,nchi hii hakuna kwenye afadhali,ni kukomaa tuElimu Ni bure mkuu,
Hizo complications za private school umetaka mwnyw,rudisha mtoto goverment [emoji4]
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ndio ushangae sasa,ndio maana tunasema ni mradi wa kupiga pesa tu,badala na wao wanaangalie miradi yao huko wanabaki shuleniHivi hao walimu hawana kazi za kufanya wakati wa likizo za wanafunzi? Walimu wa vijijini huwezi kuwapangia kubaki shuleni wakati wana shughuli zao zingine za mashambani...
Hii ni akili kubwa sana, ulipaswa kuwa waziri wa elimu, decition making zako zingeleta manufaa kwa taifa.Ni wakati wa kubadili mfumo wa elimu, ikiwezekana siku za kwenda shule ziwe nne badala ya tano kwa wiki.
Ijumaa iwe ni siku ya michezo tu, pia masomo yawe kwa njia ya vitendo zaidi badala ya rote learning ambayo inadumaza watoto.