Scaramanga
JF-Expert Member
- Aug 19, 2020
- 490
- 704
Uwe basi unatumia busara kujibu au fikri. Kusoma private au government isiwe kigezo cha kuweka tabaka la mitaala. Issue hapa ni hizi shule zote zinafanya mtihani wa serikali hivo zinatakiwa zifate taratibu zilizowekwa. Pia watoto wanahitaji kupumzika kama chuo tu watu wazima wanaosoma masomo machache na wanaingia masaa machache darasani wanapumzika sembuse hawa vijana wadogo?Kwani mtoto wako akibaki nyumbani anafukuzwa shule?
Mpeleke shule za serikali ambazo hawabaki.
Ni kweli kabisaUwe basi unatumia busara kujibu au fikri. Kusoma private au government isiwe kigezo cha kuweka tabaka la mitaala. Issue hapa ni hizi shule zote zinafanya mtihani wa serikali hivo zinatakiwa zifate taratibu zilizowekwa. Pia watoto wanahitaji kupumzika kama chuo tu watu wazima wanaosoma masomo machache na wanaingia masaa machache darasani wanapumzika sembuse hawa vijana wadogo?
Haki ya Mungu tena,shida ya watanzania ni kupenda ujinga na kulalamika lalamika.Huu ulimwengu wa kibepari huu, usipopambana na vijana wako, watakuja kuwa wafungua mageti kwa watu.
Ujinga wa babaako?Haikua na ulazima kwako kuchangia huu ujinga ungebak nao tu
Wewe ndiyo unatakiwa kufikiri kabla hujaropokwa,tabaka tayari lipo hakuna kificho.Uwe basi unatumia busara kujibu au fikri. Kusoma private au government isiwe kigezo cha kuweka tabaka la mitaala. Issue hapa ni hizi shule zote zinafanya mtihani wa serikali hivo zinatakiwa zifate taratibu zilizowekwa. Pia watoto wanahitaji kupumzika kama chuo tu watu wazima wanaosoma masomo machache na wanaingia masaa machache darasani wanapumzika sembuse hawa vijana wadogo?
Ubaya wanaharibu future ya watoto kwa kuwakaririsha kuwa elimu ipo kwenye madaftari kumbe ipo huku nje. Matokeo yake watoto wanamaliza university na first class wanaanza kuzunguka mtaani na bahasha mpaka viatu vinaenda upande.Ushaambiwa sahizi kila Mtu anajiona mtafutaji,mshaawambia watu watafute Hela,walimu nao hatupo nyuma,kama ni kupumzika tutapunzika tukifa
Tatizo jipya.Mheshimiwa Waziri,
Kumekuwa na mtindo wa wamiliki wa shule kuamua tu kwa utashi wao kubakiza watoto shuleni(madarasa ya mitihani) kwa kigezo kwamba wapate muda wa kumalizia mitaala tena bila kushirikisha wazazi huku wakiwa tayari wamepanga na gharama zao.
Hivi walimu wanashindwa vipi kumaliza mtaala kwenye muda uliopangwa?Kibaya zaidi wamekuwa wakiongeza gharama za ziada za Tuition fee na transport hasa kwa shule binafsi.
Sasa kama lengo la walimu ni kumaliza mtaala hili si jukumu lao,kwanini gharama zirudi kwa mzazi?
Je ni sahihi mtoto kusoma bila kupumzika?Kuna watoto wanasoma mbali na wazazi wanahitaji kuonana na wazazi wao ambao hawajawaona kwa muda mrefu,sasa kumshikilia mtoto shuleni muda mrefu kisaikolojia imekaaje?
Mimi binafsi naona shule zimeamua kubuni tu mradi wa kujipatia kipato kwa kigezo cha kumaliza mitaala.
Tayari kuna shule zimeshatoa taarifa kwamba darasa la nne hawatafunga shule ili waendelee kufundishwa,Je mmeruhusu?
Tunaomba hili suala lizuiliwe kisheria na sio kwa matamko ya kila mara maana nakumbuka mwaka Jana ulitoa tamko la kuzuia watoto kubakizwa shuleni ila naona linajirudia tena.
Ahsante.
Nakubaliana na wewe,kuna wazazi wana matatizo sana,kuna kipindi tulilalamika mabasi ya shule yaongezwe ili watoto wawahi kurudi nyumbani,kuna wazazi wakasema eti wakiwahi wanasumbua nyumbani,wengine wakasema sisi wakiwahi hatupo nyumbaniTtzo sio wenye shule ttzo ni wazazi
Wazazi weng hawajielew na hawajui kuoji wanaona wenye mashule km miungu mtu
Sababu ayo mambo yote huwa yanafanyika kwenye vikao vya wazazi na shule na wazazi huwa wanakubali wenyewe na ww mzazi mmoja ukisimama kupinga unaonekana km vle ujui kitu hamnazo
Tena izi shule za kidini ndo znaongoza kwa ujinga uwo karo kubwa af ikifka likizo watt wa dlasa la 4/7 wamasema wahamie shule wakae boarding ila wapate mda wa kusoma na kujisomea af tena ikifka likizo wanatwambia tutoe pesa za kuwaudumia watoto wetu wanaobakia mashulen na bado mazazi majinga yanakubali na yanatoa pesa ww mmja ukioji ttzo na mtt wako anaweza akatengwa shulen
Mkitaka kukomesha hii tabia anzeni na wazazi ndo wanakubali ujanga na kuusapoti upuuzi huu wazazi wengi ni wapuuzi na wajinga na wengne bado wanatabia ya kujipendekeza yan karo anatoa ila bado anajipendekeza kwa wakuu wa shule na waalimu
Asilimia 80 % ya wazazi ni wajinga sana x10000
Ni kweli kuwafungia watoto shuleni bila kujua nje nini kinaendelea ni kuwaharibu tuUbaya wanaharibu future ya watoto kwa kuwakaririsha kuwa elimu ipo kwenye madaftari kumbe ipo huku nje. Matokeo yake watoto wanamaliza university na first class wanaanza kuzunguka mtaani na bahasha mpaka viatu vinaenda upande.
Mhe. Waziri tunaomba katazo lako kwenye kuhakikisha watoto wanaweza kubalance elimu ya darasani na ya kwenye mazingira anayoishi
Mimi nafundisha shule ya serikali,watoto wapo,na hawatafunga,hii ni hatari kubwa ,wahusika wausikie huu ujumbeKwani mtoto wako akibaki nyumbani anafukuzwa shule?
Mpeleke shule za serikali ambazo hawabaki.
Hiyo ni dili kama dili zingineMheshimiwa Waziri,
Kumekuwa na mtindo wa wamiliki wa shule kuamua tu kwa utashi wao kubakiza watoto shuleni(madarasa ya mitihani) kwa kigezo kwamba wapate muda wa kumalizia mitaala tena bila kushirikisha wazazi huku wakiwa tayari wamepanga na gharama zao.
Hivi walimu wanashindwa vipi kumaliza mtaala kwenye muda uliopangwa?Kibaya zaidi wamekuwa wakiongeza gharama za ziada za Tuition fee na transport hasa kwa shule binafsi.
Sasa kama lengo la walimu ni kumaliza mtaala hili si jukumu lao,kwanini gharama zirudi kwa mzazi?
Je ni sahihi mtoto kusoma bila kupumzika?Kuna watoto wanasoma mbali na wazazi wanahitaji kuonana na wazazi wao ambao hawajawaona kwa muda mrefu,sasa kumshikilia mtoto shuleni muda mrefu kisaikolojia imekaaje?
Mimi binafsi naona shule zimeamua kubuni tu mradi wa kujipatia kipato kwa kigezo cha kumaliza mitaala.
Tayari kuna shule zimeshatoa taarifa kwamba darasa la nne hawatafunga shule ili waendelee kufundishwa,Je mmeruhusu?
Tunaomba hili suala lizuiliwe kisheria na sio kwa matamko ya kila mara maana nakumbuka mwaka Jana ulitoa tamko la kuzuia watoto kubakizwa shuleni ila naona linajirudia tena.
Ahsante.
Uko sahihi kabisa,na kwa kuwa wewe upo kwenye field unaelewa zaidi,watoto wanachoka tangu anaamka tu asubuhi unauona,sijui hawa viongozi hawaoni kwamba hili ni tatizo?Mkuu asante sana kwa kuleta huu Uzi,wuzara ya elimu na tamisemi wausikie.
Kwanza kabisa nikiri kuwa Mimi ni mwalimu kwa miaka mingi sasa,lakini katika muda wangu wa utumishi kamwe nimekuwa nikipinga sana wanafunzi kubakizwa wakati wa likizo, kufanya hivi kunamnyima mtoto kupata maarifa nje ya elimu ya makaratasi.
Mbaya zaidi wakurugenzi na maofisi elimu wamekuwa chanzo cha mambo haya yote,inafikia kipindi mwalimu ananyimwa likizo kisa tu kufundisha madarasa ya mitihani.
Kwa uelewa wangu mtoto inapofika muda wa likizo huhitaji kupumzika ili kuuandaa ubongo wake kwa yajayo,lakini pia mtoto huwa anatabia ya kumchoka mwalimu,hivyo anapaswa kwenda likizo ili atakapo kutana na mwalimu wake amuone mpya.
Tatizo la mfumo wa elimu yetu unamwandaa mtoto kukalili makaratasi lakini mwisho wa siku hakuna anachokitumia katika uhalisia wa maisha,mfano mzuri ni Mimi mwenyewe,kidato cha nne tulihitimu wanafunzi 250,lakini tuliobahatika kusonga mbele ni wanafunzi 50 tu,je hawa 200 walienda wapi ikiwa muda wao mwingi waliupoteza kusoma makaratasi tu!!?
Wizara husika sikieni kilio hiki ,watoto wapumzike ,na kama wanataka masomo ya ziada basi wakasome najumani kwao kwa utashi wao ila sio kupangiwa shule husika.
Kati ya deal za hovyo kufanya ni zile zinazohusu watoto wetu ambao tunawategemea waje watuongoze Tanzania. Tushirikiane kusema hapana kwenye deals hizi za kijinga mpaka viongozi washtukeHiyo ni dili kama dili zingine