Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Ile tu kuwa kwenye mazingira ya shule, inampa utayari kwa mtihani; akija nyumbani na kukaa muda mrefu halafu arudi shule, inaweza kumchukua muda kuwa na ule utayari wa kufanya mtihaniKumuacha shule ndo kumpambania.hapo unapambania watoto wa walimu sio wakwako.Nenda hapo shuleni kwao utakuta wamebaki walimu wawili wengine wako makwao kufanya mambo yao.watoto nikupiga makelele nakupewa na maasignment yasiyona kichwa wala miguu.
[emoji28][emoji28][emoji28]Eti watoto wako bize wanatafuta thamani ya X,
- Hata shule za serikali wanabaki ndg! Huu ujinga ulianzia shule binafsi, ukaachwa na sasa umefika mpaka shule za serikali.
- Ni moja ya mambo yanayoongeza gharama za maisha.
- Watu wanaotetea haki za watoto hawasikiki ktk hili.
- Watoto hawajui kazi ndogondogo kama kupika maandazi kibiashara, n.k Kwa kuwa muda wote - usiku na mchana - 'WANATAFUTA THAMANI YA X'; mbaya zaidi haiwasaidii kupambana na maisha.
- Waziri wa Elimu atakwa via ni jukumu la TAMISEMI; usishangae TAMISEMI wakakwambia ni hiari kutoa ama kutotoa. Mambo ya kitaifa yanafanywa kiholela.
- Wabunge wapo tayari hata kurusha ngumi kutetea huu utaratibu kwa kuwa wanamiliki shule au watetea shule za washkaji zao.
- Huko duniani msisitizo upo kwenye ubunifu, huku kipaumbele ni kufaulu
Naunga mkono hoja [emoji817][emoji817].
Kwa sasa ubunifu kwa watoto umepotea kabisa!
Ni kweli kabisaKumuacha shule ndo kumpambania.hapo unapambania watoto wa walimu sio wakwako.Nenda hapo shuleni kwao utakuta wamebaki walimu wawili wengine wako makwao kufanya mambo yao.watoto nikupiga makelele nakupewa na maasignment yasiyona kichwa wala miguu.
Nature ya mitihani imekaaje?Ninyi walimu si ndio mnatakiwa kushauri aina ya mitihani na nature yake iweje?Ukiona mtoto wako anahitaji kupumzika ni suala la kuwaambia tu mtoto wangu hatabaki likizo, akirudi ataendelea atakapowakuta wenzake. Shida wazaz sasa hivi tunadekeza sana watoto bila kujua wakati aliopo mtoto wako ni tofauti na ulipokua ww.
Nature ya mitihani inasababisha walimu watumie muda wa ziada na siku za likizo, mfano mtihani wa mock ambao hufanyika may or april maswali yanatolewa mada zote bila kujali hizo mada kama zimemalizika au la.sasa asipofundishwa muda wa ziada hayo maswali atajibuje?
Acheni kulaumu walimu lieni na mfumo wa elimu na mitihani lukuki inayopelekwa mashuleni,mf darasa la saba anafanya upimaji wa awali,pre mock,mock,pre national ,national bado mitihani ya ndani ya shule,bado ya kata sjui klasta.
Hizo mada zitafundishwa saa ngapi na mitihani ni mingi hivyo? jaribuni kufatilia vitu kabla ya kulalamika.
Huyo jamaa anaongea utadhani hajui wajibu wa serikali kwa maananchi wakeIna maana uelewi kazi ya serikali?.Au mzazi mmoja mmoja atawezaje kubadilisha jambo linalofanywa kwenye jamii ya wengi.Walioweka serikali hawakua wajinga.
Mtoto ulizaa mwenyewe wataka usomeshewe.Sio kubakiza watoto shule TU. Walipiga marufuku michango shuleni lakini hakuna kilichobadilika.View attachment 2640526
Kwahiyo Shule zipo ili kuandaa watoto kufanya mitihani pekee?Ile tu kuwa kwenye mazingira ya shule, inampa utayari kwa mtihani; akija nyumbani na kukaa muda mrefu halafu arudi shule, inaweza kumchukua muda kuwa na ule utayari wa kufanya mtihani
Hata serikalini wanabakishwaKwani mtoto wako akibaki nyumbani anafukuzwa shule?
Mpeleke shule za serikali ambazo hawabaki.
Ni lazima ili mtoto aende la kwanza akijua kusoma na kuandikaHapo kwenye elimu ya awali kuwa lazima ndio wanatafuta pa kupigia hela
watoto wake wapo Feza unadhani atajali mtoto wa Kayumba anasomaje.Waziri mwenyewe kairuki hapitagi mtandaoni
Huyo ni mnufaika.Unazungumzia uzoefu au utaalam?
Mtaala pamoja na mohtasari ikitekelezwa kama ilivyopangwa, muda unatosha kabisa!
Siku za kusoma ni 194 ambazo zimetokana na masaa ya kufundisha na muda wa mtoto kupumzika. Hili lenu la kuona muda ni mdogo unatokana na ama hamjui kuandaa namna ya kufundisha na kujifunza ama mnajipa kazi ambazo zinawachosha na hazileti ufanisi na maarifa kwa mtoto.
Yeah Tanzania miaka ya hivi karibuni kumegeuka na kikundi cha shule na wazazi wakitaka watu wafaulu tuMitaala na ratiba za muhula wote ziko wazi. Ila uvivu wa walimu wanatumia kipindi cha likizo na weekend kutafuta kipato haramu.
Pia linalosikitisha zaidi ni kwamba madarasa ya mtihani kuwekwa busy maana yake tanzania tunasomea mtihani tu
Wanafunzi wanakaririshwa, ukitaka ona maajabu badilisha kwenye X weka YNi kweli, hapo ni kusomea mtihani tu,sijui kama watoto wanaelewa hata kinachofundishwa
Kuwa mwalimu wa chuo kikuu unatakiwa uwe na GPA ya ngapi?Kwahiyo Shule zipo ili kuandaa watoto kufanya mitihani pekee?
Sasa hao wanafunzi watakaa muda gani wakati mnataka mpige pesa za tuition?Wazazi WA Siku hizi sio walezi wanajua kuzaa TU ndo maana maadli yanashuka tunasingia Ulaya,Lea mwanao mwenyewe Kaa nae likizo msome Mtoto ujue tabia zake
Mnataka walimu wawaleee na housemade from January to December,Hivi hamuoni haya na Hilo suala Hapo ukute Kuna mzazi kaliunga mkono la watoto kubaki shule
Katoto ka std 4 kanabaki kufanya Nini?!!lini wazazi tutajua watoto wety tabia zao?uwezo wao?madhaifu Yao?!
Yaani tunakoelekea ni mtihani Sana Mungu atulinde...!!!
Acha uzoba Kwan Max ni wazir wa elim ?Sambamba na hilo Max, liende pia hili la upigaji wa kambi za kimasomo katika shule ambazo si za bweni!