kson m
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 6,672
- 3,055
Wanaopiga pindi kuanzi j3 asubuhi Hadi j2 pia wapo ... Jumatatu Hadi jumapili non stop Tena shule za serikali !!!Kuna shule hawafungi kabisa mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaopiga pindi kuanzi j3 asubuhi Hadi j2 pia wapo ... Jumatatu Hadi jumapili non stop Tena shule za serikali !!!Kuna shule hawafungi kabisa mkuu
Kuna barua ya wizara nimeattach hapo juu, na kwenye uzi wangu nilisema katazo liwekwe kisheria na adhabu zake kwa mkiukaji,hata hivyo shule nyingi za binafsi watoto wamerudishwa,hizo zingine sijui labda ufuatiliaji hakuna.Ametekeleza kwa tamko... Haya matamko sawa tu na yaliyo kwenye kanga ambazo wanawake wanajifunga kiunoni na maandishi kusomeka yakiwa yamejipanga sawasawa kati ya mtikisiko wa zegembe!! Wanafunzi wapo shuleni kama kawaida !!!
Utadhani hakuna mamlaka husika,watu wanajiamulia tuTanzania ni moja kati ya nchi zanazo shangaza duniani!! Fikiria mtu anaamka TU anasema shule hazitafungwa ( Yani tafsiri yake hakuna mwanafunzi kuwa na likizo) Halafu watu wanakaa kimya!!
Kuna Mambo kadhaa ya kurekebisha kwenye Mitaala na Miongozo ya Elimu Tanzania…Mheshimiwa Waziri,
Kumekuwa na mtindo wa wamiliki wa shule kuamua tu kwa utashi wao kubakiza watoto shuleni(madarasa ya mitihani) kwa kigezo kwamba wapate muda wa kumalizia mitaala tena bila kushirikisha wazazi huku wakiwa tayari wamepanga na gharama zao.
Hivi walimu wanashindwa vipi kumaliza mtaala kwenye muda uliopangwa?Kibaya zaidi wamekuwa wakiongeza gharama za ziada za Tuition fee na transport hasa kwa shule binafsi.
Sasa kama lengo la walimu ni kumaliza mtaala hili si jukumu lao,kwanini gharama zirudi kwa mzazi?
Je ni sahihi mtoto kusoma bila kupumzika?Kuna watoto wanasoma mbali na wazazi wanahitaji kuonana na wazazi wao ambao hawajawaona kwa muda mrefu,sasa kumshikilia mtoto shuleni muda mrefu kisaikolojia imekaaje?
Mimi binafsi naona shule zimeamua kubuni tu mradi wa kujipatia kipato kwa kigezo cha kumaliza mitaala.
Tayari kuna shule zimeshatoa taarifa kwamba darasa la nne hawatafunga shule ili waendelee kufundishwa,Je mmeruhusu?
Tunaomba hili suala lizuiliwe kisheria na sio kwa matamko ya kila mara maana nakumbuka mwaka Jana ulitoa tamko la kuzuia watoto kubakizwa shuleni ila naona linajirudia tena.
Pia soma: Waziri wa Elimu Prof. Mkenda, sisitiza umuhimu wa kutowabakiza watoto shule kipindi cha likizo
UPDATE:
Wizara imeitikia wito wa wadau, soma Serikali: Wanafunzi wasizuiwe kwenda likizo
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Mwalimu wa tuisheni hawezi kutetea tunachokizungumza hapa,kwa sababu ni mnufaika
Sipendi utaratibu wa kubaki shuleni Mimi ..nauchukia walimu Wa Dar na private ndo Sanaa...Kabisa mkuu... Hii hali sio ya kuilea. Tunawaharibia watoto future... Wanakosa hata muda wa ku synthesise kile wanachondishwa, wanameza tu
Sio mzuri kabisa. Na hapo bado wanakuwa wanaamshwa saa 10 alfajiri na kulala saa 5... Cheiii sijui wanajazwa nini ambacho wengine hatukusomaSipendi utaratibu wa kubaki shuleni Mimi ..nauchukia walimu Wa Dar na private ndo Sanaa...
Dar walimu Wa kayumba primary ni Kwa sababu ya 500,500 za watoto
Na tunameza kwa kweli…hadi uchafuMkoloni amejua wapi pakutukamata, vichwa vya watoto vimegeuzwa hard disk ya kumeza tu baada ya hapo hamna kitu, elimu ambayo hakuna sehemu tuna apply.
Nayakubali sana mataifa ya Asia mfano China na Korea ya Kaskazini hawana elimu ya mkoloni
Wanamezeshwa vitu ili waje kujibia mtihaniMkoloni amejua wapi pakutukamata, vichwa vya watoto vimegeuzwa hard disk ya kumeza tu baada ya hapo hamna kitu, elimu ambayo hakuna sehemu tuna apply.
Nayakubali sana mataifa ya Asia mfano China na Korea ya Kaskazini hawana elimu ya mkoloni
Miradi ya upigaji tu tu Kuna likizo watoto wapumzikeSio mzuri kabisa. Na hapo bado wanakuwa wanaamshwa saa 10 alfajiri na kulala saa 5... Cheiii sijui wanajazwa nini ambacho wengine hatukusoma