Ikitotanzila
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,409
- 2,263
Halafu. Zitafundishwa na naniKwani mnalazimishwa kufanya kazi kwenye hayo manyanyaso, si muache kazi.
Wakiona walimu wamekataa watalegeza masharti, tatizo vijana mnajirahisi mno mpaka mnadharaulika.Halafu. Zitafundishwa na nani
Tatizo la sasa mtu e nafikiri pia wahitimu ni wengi, na kazi ni chache ni kama mambo ya ' damand &supply' tu, wapo wengi wanasubiria pembeni ndio hali halisi hiyo ndugu yangu.Halafu. Zitafundishwa na nani
Inaitwa Nyahili Memoria School iko Arusha. Na mmiliki wake ni mbungge aliyechukua jimbo la esta matiko.Ungeweka na mfano wa shule ingekuwa vema.
Hivi vyama vya wafanyakazi ndio vyakulaumiwa, vimekaa kimya wakati wanachama wake wananyanyasika.
Waziri unamlaumu bure.
Kuna shule zimefunga mfumo wa CCVT! Ukionekana unaongea na simu au unachati muda wa kazi unatimuliwa! Hata kama hukuwa kwenye kipindi muda huo!! Wakati wa likizo kuna baadhi ya shule hazilipi mshahara!! Huko private kuna utumwa!! Mshahara mdogo lakini pia huupati kwa wakati! na unaupata kwa mafungu mafungu!! Japo ni kweli pia kuwa kuna shule chachè zinazolipa vizuri sana kuliko serikali!!!Hata hajui unyanyasaji unaofanya na waajiri shule binafsi na she doesn't bother kujua yeye kutoa matamko tu yasiyotekelezwa.
Walimu wanalipwa laki moja au mbili huko private na wanafanyishwa kazi mchana na usiku na hawaruhusiwi kabisa kuoa au kuolewa. Ukioa tu umejifukuzisha kazi.
Simu huruhusiwi kutumia na ukienda chooni unahesabiwa dakika.
Yeye bado yuko ofisini tu haoni chochote na haraki kujua private kuna nini.
Prof Ndalichako jiuzulu wengine wanaojua wakureprace elimu inaharibika dremendously.
Shule hazifundishwi tena na proffesional twachers bali wahsibu na engineers waliokosa kazi
Achawapige kazi hakuna pesa za bureeeKuna shule zimefunga mfumo wa CCVT! Ukionekana unaongea na simu au unachati muda wa kazi unatimuliwa! Hata kama hukuwa kwenye kipindi muda huo!! Wakati wa likizo kuna baadhi ya shule hazilipi mshahara!! Huko private kuna utumwa!! Mshahara mdogo lakini pia huupati kwa wakati! na unaupata kwa mafungu mafungu!! Japo ni kweli pia kuwa kuna shule chachè zinazolipa vizuri sana kuliko serikali!!!
Mwenye shule atapata JibuHalafu. Zitafundishwa na nani
Hizo ni errors tupole sana. Ila najiuliza tu, kwa uandishi huu na maneno haya ambayo labda ni kiingereza’ “Reprace, dremendously, twachers”, wewe unadhani mtu atakulipa Sh. ngapi ili ufundishe watoto wa watu.
Hayo mengine ya kubaniwa kwenda chooni yanaeleweka.
chuki za waziwazimhizi unaonekana hata chai hujakunywa mpaka sasahiviHata hajui unyanyasaji unaofanya na waajiri shule binafsi na she doesn't bother kujua yeye kutoa matamko tu yasiyotekelezwa.
Walimu wanalipwa laki moja au mbili huko private na wanafanyishwa kazi mchana na usiku na hawaruhusiwi kabisa kuoa au kuolewa. Ukioa tu umejifukuzisha kazi.
Simu huruhusiwi kutumia na ukienda chooni unahesabiwa dakika.
Yeye bado yuko ofisini tu haoni chochote na haraki kujua private kuna nini.
Prof Ndalichako jiuzulu wengine wanaojua wakureprace elimu inaharibika dremendously.
Shule hazifundishwi tena na proffesional twachers bali wahsibu na engineers waliokosa kazi
umeanza vizuri ukaharibu hapo mwisho huna akili mpumbavu weweMbinywe tu mpaka akili iwarudi.
Kuna mzee mmoja alikuwa anatibu vichaa kwa kuwapigia nyungu takatifu. Unainamishwa kichwa mpaka akili itakaa sawa.
Wengi wenu mlisimamia uchaguzi na kuisaidia CCM chama haramu kishinde.