Waziri wa Elimu kwanini sheria ya bodi ya mkopo ina ubaguzi?

Waziri wa Elimu kwanini sheria ya bodi ya mkopo ina ubaguzi?

Leverage

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2021
Posts
2,125
Reaction score
3,150
1.Ilipoanzishwa VRF 6% mwaka 2013 ikatumiwa kwa wote hata wale waliokopa kabla ya 2013.

2. Ilipoanzishwa makato 15% mwaka 2016 ikatumika kwa wote hata wale waliokuwa wanakatwa kabla ya 2016.

3. Ilivyofutwa VRF 1st May 2021 na Rais Samia imeanza kutumika kuanzia mwezi huo huo May 2021. Huku watu wakiendelea kudaiwa VRF kabla ya 1 May yaani wanadaiwa VRF kutoka April kurudi nyuma.

Kwanini sheria nyingine zinarudi nyuma na nyingine hazirudi nyuma?
 
I think kuna jambo la kufanya hapa.Mungu ambariki mama Samia
 
Naomba mwenye namba ya bodi ya mikopo anitumie nataka niwapigie wamenichosha hawa
 
Back
Top Bottom