Waziri wa elimu na mafunzo uko wapi? Peleka muswada bungeni, simu zinaaribu wanafunzi wetu!

Waziri wa elimu na mafunzo uko wapi? Peleka muswada bungeni, simu zinaaribu wanafunzi wetu!

jzm-teak

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2013
Posts
1,770
Reaction score
323
Naweza kusema labda kuja simu za mkononi kumewasadia watawala kupumua maana tulisikia migomo kila mara vyuoni. Wanafunzi walipogoma sio kwamba ilikuwa hasara, bali mimi nachukulia ilikuwa afya ya kuwakumbusha watawala kuwa mambo fulani kwenye jamii hayaendi sawa.
Sasa hivi wanafunzi wa vyuo vikuu wamekuwa buzy na hizi social media (kama, facebook, whattsap, tweetter,...), kila unayekutana nae ana simu, anachati, ukiangalia sanasana ni mambo ya ovyoovyo kabisa! sasa sijui wanasoma saa ngapi,

mimi nafikiri waziri apeleke sheria bungeni ili iwepo sheria inayoruhusu wanafunzi kutumia simu muda maalum kuanzia shule za misingi mpaka elimu ya juu! maana sisi tumebaki watumiaji tu sio wazalishaji!
 
Waziri apeleke sheria!? au wewe nawe ni miongoni mwa walioathirika na simu (hao unaosema wanasoma saa ngapi)
 
Ndio maana kunakuwa na time managment,sasa km hawasomi cwata sap wewe hofu yako nn
 
Ukamtungie sheria mtu mzima aliyepo chuo kikuu???? Mwenye akili timamu na anayejua maisha ??? Hata hao watunga sheria saaa itabidi wakachekiwe kwa hospital..

Watoto wapo chini ya wazazi wao ni wajibu kuthibiti
 
Isitoshe hata baadhi ya hao watunga sheria wanasoma kwenye vyuo vikuu.
 
wewe ni bureeee unaongea rojoo watu wanaenda mbele we unarudi nyuma,,,kenya wanampango wakuwanunulia wanafunzi wote tablets ... Hao ndo watu wanaofikiri positively, huwezi kuukataa moto kwakua unaunguza ilihali unataka kula apo inabidi uwe makini au siyo? Mwambie uyo waziri apeleke mswaada wakufundisha matumizi salama ya simu na mtandao kuanzia shule ya msingi mpaka elimu ya juu sio uo urojo apo?
 
Nashukuru kwa mtazamo wako, na nnaimani ni mtazamo wa walio wengi, ni msimamo uliofeli.

Mimi nnawazo langu.
Napendekeza, watoto wafundishwe matumizi mema ya simu zao ( chekechea-Sekondari), ukiwafundisha matumizi mema ya simu, sidhani kama italeta shida.
 
wewe ni bureeee unaongea rojoo watu wanaenda mbele we unarudi nyuma,,,kenya wanampango wakuwanunulia wanafunzi wote tablets ... Hao ndo watu wanaofikiri positively, huwezi kuukataa moto kwakua unaunguza ilihali unataka kula apo inabidi uwe makini au siyo? Mwambie uyo waziri apeleke mswaada wakufundisha matumizi salama ya simu na mtandao kuanzia shule ya msingi mpaka elimu ya juu sio uo urojo apo?

nikupe like nisikupe?? ngoja nikupe
 
Waziri na ukoo wake wote wameathirika na simu,muda wote shukuru kawabwa yupo kwenye what's up?
 
Mtu anatoa maoni yake kuliengana na uwezo wake wa kuelewa lakini watu mnamjibu vibaya kana kwamba hamjaelewa alichomaanisha.
Kwa wale waliopo vyuoni basi wanajua jinsi wanafunzi wanavyotumia muda mwingi kwenye mitandao waki-chat tena wengine wakifanya hivyo muda wa masomo! Mtoa mada ameleta wazo zuri sana japo halijakamilika, na mlipaswa kumsaidia, inaonekana wengi wanaozungumziwa kama watumiaji wabaya wa sim mmeonekana kupitia comment nzenu.
 
Kama mtu hajitambui,hajitambui tu na hata kama hiyo sheria itapitishwa wala haitamsaidia kutokuharibika ukizingatia sheria zipo ili zivunjwe.
 
Back
Top Bottom