Naweza kusema labda kuja simu za mkononi kumewasadia watawala kupumua maana tulisikia migomo kila mara vyuoni. Wanafunzi walipogoma sio kwamba ilikuwa hasara, bali mimi nachukulia ilikuwa afya ya kuwakumbusha watawala kuwa mambo fulani kwenye jamii hayaendi sawa.
Sasa hivi wanafunzi wa vyuo vikuu wamekuwa buzy na hizi social media (kama, facebook, whattsap, tweetter,...), kila unayekutana nae ana simu, anachati, ukiangalia sanasana ni mambo ya ovyoovyo kabisa! sasa sijui wanasoma saa ngapi,
mimi nafikiri waziri apeleke sheria bungeni ili iwepo sheria inayoruhusu wanafunzi kutumia simu muda maalum kuanzia shule za misingi mpaka elimu ya juu! maana sisi tumebaki watumiaji tu sio wazalishaji!