Waziri wa Elimu, Prof. Mkenda apiga marufuku Shule kuzuia Wanafunzi ambao hawajalipa fedha za michango

Michango ya kuingia kidato cha tano ni mikubwa kuzidi karo!
 
Umaskini mbaya sana.
Siasa inakatiza kila kona na wanaoumia ni maskini, kutokana na siasa watoto wa maskini wanapata elimu ambayo sio bora.
 
Nchi hii inebaribika sana. Wanasiasa wanaharibu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…