Mmh!!! 1500, elimu haijawahi kua ya bure au kwasbb CCm inawapumbaza ili mjipe kura, ata nchi zilio endelea hamna services za elimu za bure, mzazi kubali kubeba msalaba wa mwanao, otherwise acha kuzaa,....Kila Ijumaa wazazi tunadaiwa shs 1,500 kama ada ya mtihani. Je walimu wanafanya haya kwa ruhusa ya Wizara kama examination policy? Mtoto asipoleta hela anapigwa. Tupelekane mahakamani na walimu wako kwa kuwapiga watoto bila sababu? Kama mtoto hakupewa hela, unampiga ili hela aitoe wapi?
Au Ni miradi ya waalimu kujiongezea kipato?
Wazazi watashindwa
Nitakupa ushahidi kama ukihitaji uthibitisho
Mzazi nenda shule kamuone mkuu wa shule mwambie "sitaki mwanangu afanye hiyo mitihani, sitaki kuombwa hiyo hela wala sitaki mwanangu aguswe"Kila Ijumaa wazazi tunadaiwa shs 1,500 kama ada ya mtihani. Je walimu wanafanya haya kwa ruhusa ya Wizara kama examination policy? Mtoto asipoleta hela anapigwa. Tupelekane mahakamani na walimu wako kwa kuwapiga watoto bila sababu? Kama mtoto hakupewa hela, unampiga ili hela aitoe wapi?
Au Ni miradi ya waalimu kujiongezea kipato?
Wazazi watashindwa
Nitakupa ushahidi kama ukihitaji uthibitisho
Hili jambo huwa linanitafakarisha sana.Majibu ni muhimu.Asubuhi hii nimeshaumizwa.Kila Ijumaa wazazi tunadaiwa shs 1,500 kama ada ya mtihani. Je walimu wanafanya haya kwa ruhusa ya Wizara kama examination policy?
Mtoto asipoleta hela anapigwa. Tupelekane mahakamani na walimu wako kwa kuwapiga watoto bila sababu? Kama mtoto hakupewa hela, unampiga ili hela aitoe wapi?
Au Ni miradi ya waalimu kujiongezea kipato?
Wazazi watashindwa
Nitakupa ushahidi kama ukihitaji uthibitisho
Ninataka tamko la serikali, kama ni policy ya wizara, then it needs another approach, kama ni miradi ya walimu, then also needs a different approach!Mzazi nenda shule kamuone mkuu wa shule mwambie "sitaki mwanangu afanye hiyo mitihani, sitaki kuombwa hiyo hela wala sitaki mwanangu aguswe"
Pia usisahau kwenye vikao vya wazazi chukua mic sema hautaki hiyo mitihani haukubaliani na hilo swala hivyo hautatoa pesa
Ili mtoto afanyiwe visa kama vya mama mwenye nyumba na mpangaji bodaboda?Linahitajika jibu la jumla.Michango-kero ni ruhusa mashuleni?Mzazi nenda shule kamuone mkuu wa shule mwambie "sitaki mwanangu afanye hiyo mitihani, sitaki kuombwa hiyo hela wala sitaki mwanangu aguswe"
Pia usisahau kwenye vikao vya wazazi chukua mic sema hautaki hiyo mitihani haukubaliani na hilo swala hivyo hautatoa pesa
Tunataka tamkola serikali. kama ni rasmi, wazazi tujue, kama ni miradi ya walimu tujue! Issue siyo kulipa, issue je unamlipa nani? Mradi wa mwalimu?Mmh!!! 1500, elimu haijawahi kua ya bure au kwasbb CCm inawapumbaza ili mjipe kura, ata nchi zilio endelea hamna services za elimu za bure, mzazi kubali kubeba msalaba wa mwanao, otherwise acha kuzaa,....
Sio mradi wa walimu bali ni makubaliano ya wazazi katika vikao, kuomba watoto waongezewe ufaulu..... Hivyo walimu ni watekelezaji.Ninataka tamko la serikali, kama ni policy ya wizara, then it needs another approach, kama ni miradi ya walimu, then also needs a different approach!
Waziri atoe tamko, then one from there will see the way forwrd!
Ya ukweli haya. Tena hata likizo siku hizi watoto wanalazimishwa kwenda shule. Asipoenda anachezea bakora. Waalimu ni watu wapumbavu kama bodaboda.Kila Ijumaa wazazi tunadaiwa shs 1,500 kama ada ya mtihani. Je walimu wanafanya haya kwa ruhusa ya Wizara kama examination policy?
Mtoto asipoleta hela anapigwa. Tupelekane mahakamani na walimu wako kwa kuwapiga watoto bila sababu? Kama mtoto hakupewa hela, unampiga ili hela aitoe wapi?
Au Ni miradi ya waalimu kujiongezea kipato?
Wazazi watashindwa
Nitakupa ushahidi kama ukihitaji uthibitisho
Kuhusu vipigo na kufukuza watoto shuleni ambao hawajapewa na wazazi/walezi hiyo michango?Jibu wakati tunasubiri majibu ya maswali ya awali.Sio mradi wa walimu bali ni makubaliano ya wazazi katika vikao, kuomba watoto waongezewe ufaulu..... Hivyo walimu ni watekelezaji.
Kama unachukua hatua chukua tu, hakuna serikali itakuja kukupa tamko kwenye hilo.
Tamko halipo mkuu 😹 ndio maana nakuambia chukua hatuaTunataka tamkola serikali. kama ni rasmi, azazi tujue, kama ni miradi ya walimu tujue! Issue siyo kulipa, issue je unamlipa nani? Mradi wa mwalimu?
Maokoto collection in disguises!Ya ukweli haya. Tena hata likizo siku hizi watoto wanalazimishwa kwenda shule. Asipoenda anachezea bakora. Waalimu ni watu wapumbavu kama bodaboda.
Huo utaratibu wa kupiga watoto hata mie siupendi kwakweli unanikwaza sanaaa ndio wazazi msimame sasa.....sio kuandika tu huku watoto wakati wenu wanaoga fimboKuhusu vipigo na kufukuza watoto shuleni ambao hawajapewa na wazazi/walezi hiyo michango?Jibu wakati tunasubiri majibu ya maswali ya awali.
Wewe ni mzazi?Kila Ijumaa wazazi tunadaiwa shs 1,500 kama ada ya mtihani. Je walimu wanafanya haya kwa ruhusa ya Wizara kama examination policy?
Mtoto asipoleta hela anapigwa. Tupelekane mahakamani na walimu wako kwa kuwapiga watoto bila sababu? Kama mtoto hakupewa hela, unampiga ili hela aitoe wapi?
Au Ni miradi ya waalimu kujiongezea kipato?
Wazazi watashindwa
Nitakupa ushahidi kama ukihitaji uthibitisho
Mtoto wa darasa la pili anachangia 2000 kwa mitihani miwili(copies) yenye gharama halisi ya urudufishaji ni Tsh 200 unaona ni sawa?Mtoto wako wajibika
Wewe unataka mtoto wako alipiwe na nani?
Ile mitihani inahitajika gharama za stationery a
Kulipa 1500 Kwa week hadi ufungue Uzi wa kulalamika
kama unaona 1500 kubwa usitoe.Hili jambo huwa linanitafakarisha sana.Majibu ni muhimu.Asubuhi hii nimeshaumizwa.
Mtoto akirudi nyumbani muulize shuleni hali ikoje nini kinaendelea, kama kafanyiwa kisa muulize huyo mwalimu.....kisha kaonane na mwalimu uso kwa jicho, mwanao afanyiwe ndivyo sivyo unaogopa?Ili mtoto afanyiwe visa kama vya mama mwenye nyumba na mpangaji bodaboda?Linahitajika jibu la jumla.Michango-kero ni ruhusa mashuleni?