God Fearing Person
JF-Expert Member
- Apr 5, 2020
- 767
- 2,570
Inabidi wazazi waende na muda, wajue kutumia tovuti na mtandao kwa ujumla. Hakuna haja ya kuweka majina, ni wazazi waende na wakati, namba tu inawashinda kuijua, wanaweza kufuatilia maendeleo ya watoto kweli?!Ili tuone unaupiga mwingi ebu weka matokeo kwa Majina ndo tuamini upo serious na Kazi yako.
Watoto huku uswahilini wanataja taja tu namba za uongo wakati wamepata zero na mbaya wanadanganya wazazi wao
Kwani kwa nini wanaweka matokeo bila majina? Mbona F.2 wanaweka?mh ! tusirudi kule bure.
Sijui kwann awajaweka majina kama F2.Kwani kwa nini wanaweka matokeo bila majina? Mbona F.2 wanaweka?
Utaratibu ulibadilika sababu Mwanaisha kipindi kileee, aliandikwa sana. Wacha namba ziendelee.
Na magazeti ya udaku yalimwandama kinoma noma, ndiyo namba zikaanza kutumika.Mwanaisha alizingua, shule nzima ni yeye tu ndiye alipata four, feza hawana hamu nae