Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Wananchi hawana muda nayo sana hiyo bajet ya wauaji.Serikali kupitia Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) inatarajia kuwasilisha Bajeti Kuu ya Mwaka wa Fedha 2026/27 leo Alhamisi Juni 11, 2026 Bungeni Jijini Dodoma.
Balozi Khamis Mussa Omar alinukuliwa akisema bajeti hiyo itatumika kutekeleza Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, Mpango wa Nne wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano (2026/27–2030/31) pamoja na Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya mwaka 2025-2030.
Unatarajia nini kutoka katika bejeti hiyo?
Thanks for thisSerikali kupitia Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) inatarajia kuwasilisha Bajeti Kuu ya Mwaka wa Fedha 2026/27 leo Alhamisi Juni 11, 2026 Bungeni Jijini Dodoma.
Balozi Khamis Mussa Omar alinukuliwa akisema bajeti hiyo itatumika kutekeleza Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, Mpango wa Nne wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano (2026/27–2030/31) pamoja na Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya mwaka 2025-2030.
Unatarajia nini kutoka katika bejeti hiyo?
Itakuwa kateleza ulimi kama mada yako ile ya slip of tongueMhe. Spika, kumbe halijui vizuri jina la Kamishna General wa Uhamiaji, Dr. Anna Makakala, wakati wa utambulisho, amemuita amemuita Dr. Anna Makalala!.
P