Waziri wa Fedha Dk. Nchemba upo na upo tayari?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
MINOCYCLINE nakukubali mno kwani Wewe ndiyo Waziri pekee unayependwa sana nchini na hasa Wafanyabiashara wa Masoko yote nchini na hata katika Mkutano Waziri ambaye hakusemwa kabisa ulikuwa ndiyo Wewe.

Hongera mno Waziri Dk. M Nchemba.
 
Anachezea uwaziri chooni mida hii.
 
KWenye familia huwa kuna kaupendeleo flani hivi yaani hata ukikosea Wazazi hawasemi au wanakutetea usiguswe.
 
Back
Top Bottom