Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na CCM kuwania Ubunge jimbo la Buhigwe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Analo. Anataka kuachana na "viti maalum"Hana jipya
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na CCM kuwania Ubunge jimbo la Buhigwe.
Tunakwenda na Charles kimei 2020
Tena Wapo Radhi Kutoa Uhai!!!mazee yanapenda vyeo haya
Imekwisha HiyoNi Mbunge huyo tayari
Kala Maharage Ya WapiKumbe Kimei anagombea buhigwe kigoma? [emoji23][emoji23]
Kakamatwa Anagawa Pesa Hadharani Sasa Unafikiri AtaponaKwahiyo yule mbunge wa zamani hana thamani sasa?
Ipo Mkoa Wa Kigoma, Ni Wilaya Mpya Inatokana Na Wilaya Kongwe KasuluBuhigwe iko mkoa gani?
Jinyongemazee yanapenda vyeo haya
Ok, huko kwa ndugu Albert ObamaIpo Mkoa Wa Kigoma, Ni Wilaya Mpya Inatokana Na Wilaya Kongwe Kasulu
Huko Anagombea Ila Maisha Kisarawe
KigomaBuhigwe iko mkoa gani?