Uchaguzi 2020 Waziri wa Fedha, Dkt. Mpango achukua fomu ya Ubunge Buhigwe kupitia CCM

Uchaguzi 2020 Waziri wa Fedha, Dkt. Mpango achukua fomu ya Ubunge Buhigwe kupitia CCM

Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na CCM kuwania Ubunge jimbo la Buhigwe.

Mzee baba ridhika na ulicho nacho, kuna wenzio wapo tu hata uenyekiti wa kijiji hawajapata na maisha yanakwenda, wewe umeshika vyeo ikubwa na watoto umesomesha mpaka huyu mmoja hapa mahakama ya rufaa anabebwa tu lkini huridhiki
 
Kwani ni yupi yule mamvi aliye wahi kuwa waziri?
Huyo Anaitwa Albert Ntabaliba (Obama) Ndiyo Alikuwa Na Jimbo Mpaka Bunge Linakwisha
Week 2 Zimepita Kakamatwa Anagawa Cash Kama 250000/=
Mfukoni Akiwa Na Millions 2
 
Ndiyo maana safari za huko zilikuwa haziishi kumbe alikuwa anapalilia njia
 
Shukrani mkuu
Huyo Anaitwa Albert Ntabaliba (Obama) Ndiyo Alikuwa Na Jimbo Mpaka Bunge Linakwisha
Week 2 Zimepita Kakamatwa Anagawa Cash Kama 250000/=
Mfukoni Akiwa Na Millions 2
 
Hapajachoka Ni Wilaya Mpya
Mambo Haya Yalipigiwa Kelele Kugawa Wilaya
Wakati Kasulu Yenyewe Bado Inachechemea
Kasulu ni moja ya wilaya inayokua kwa kasi mji umependeza ule nilikua juzi pale.
 
Back
Top Bottom