Uchaguzi 2020 Waziri wa Fedha, Dkt. Mpango achukua fomu ya Ubunge Buhigwe kupitia CCM

Uchaguzi 2020 Waziri wa Fedha, Dkt. Mpango achukua fomu ya Ubunge Buhigwe kupitia CCM

Kumbe Dingo anatokea Buhigwe? Aibu sana sana, Buhigwe nzima kuna Lodge moja tu? Na Guest Bubu za buku tatu buku tatu wakati pale ni mpakani kabisa
sasa vijana wa pale wakiwa na haja huwa wanatimiza wapi kiu yao? ama ndio wanapelekana mashambani?
 
Alifanya kazi nzuri sana kama waziri wa fedha na alidumu wizarani hapo bila shida. Akipata ubunge sitashangaa sana. Ni kati ya mawaziri wachapa kazi na wenye weledi
 
mazee yanapenda vyeo haya
hawaridhiki na walivyo navyo, kajenga Tabata nyumba kubwa na ana biashara ya malori makubwa ya kwenda Congo, sasa hivi kahamia CHANIKA -huko kajenga kama ikulu ya CHAMWINO, watoto wake wote kawachomekea serikalini sehemu nzuri, ana mafao karibu aina nne lakini haridhiki kuachia vijana ambao hata ajira ya kwanza hawajanusa,
 
sasa vijana wa pale wakiwa na haja huwa wanatimiza wapi kiu yao? ama ndio wanapelekana mashambani?
Kuna mapori ya kutosha sana na mashamba ya migomba kwa upande ule wa secondary, kikubwa unakua na kisu cha kukatia majani yaa mgomba na kuyatandika vyema chini, changamoto ya majani ya mgomba ni Konokono tu....

Pili, kwa wale Boda boda wanatumia zile Guest za buku tatu tatu, ina maana kama ni showtime anaweza kula hata buku. Si mbaya sana.
 
Kumbe Dingo anatokea Buhigwe? Aibu sana sana, Buhigwe nzima kuna Lodge moja tu? Na Guest Bubu za buku tatu buku tatu wakati pale ni mpakani kabisa

Pango anagobea jimbo tu lakini anazaliwa huko karibu na kijiji cha mwanga, ni ndugy yake na askofu mstaafu Gerald Mpango na padre mmoja anaitwa Nzabayanga.
 
Pango anagobea jimbo tu lakini anazaliwa huko karibu na kijiji cha mwanga, ni ndugy yake na askofu mstaafu Gerald Mpango na padre mmoja anaitwa Nzabayanga.
Ooghh kumbe, shukrani kwa taarifa Mpwa
 
Pango anagobea jimbo tu lakini anazaliwa huko karibu na kijiji cha mwanga, ni ndugy yake na askofu mstaafu Gerald Mpango na padre mmoja anaitwa Nzabayanga.
Wafukua makaburi
 
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na CCM kuwania Ubunge jimbo la Buhigwe.

Naamini watu wa Buhigwe watafaidi matunda ya Tanzania kuingia ktk uchumi wa kati. Dkt. Mpango ni mtu mwenye hofu ya Mungu, licha ya "small little lies" zake anazolazimika kutuambia Watanzania ili amfurahishe bosi wake. Wana Buhigwe msiiechezee nafasi hii kwenu.
 
Serikali ya magufuli kama hauko ccm ni ngumu kuletewa maendeleo!
aliwahi kulisema hilo Magufuli mwenyewe akiwa katavi au sumbawanga huko, alisema hivi
"KAMA UNA TOCHI YAKO INAYO TUMIA BETRI TATU, WEWE UKACHUKUA BETRI MBILI, UKAWEKA HUKU NA HUKU, HALAFU KATIKATI UKAWEKA GUNZI, UNADHANI HIYO TOCHI ITAWAKA?"
Mwishoni kabisa alisema "wote mlioweka magunzi badala ya betri hakikisheni kwenye uchaguzi mnayatoa na kuweka betri"
Kwa muktadha huo, Mpango atafaa kwa maslahi mapana ya wilaya yetu changa ya buhigwe.
 
Back
Top Bottom