TANZIA Waziri wa Fedha, Dkt. Willliam Mgimwa afariki dunia!

poleni kwa msiba!Mwenyezi Mungu awape moyo wa subira na uvumilivu!
ni W. Mgimwa waziri?
 
Poleni sana
Sote tutarudi kwa MwenyEzzi Mungu,
Amlaze pema marehemu.
 
huyu waziri wa fedha au mwingine?
 
Pole sana! Kwa huzuni uliyo nayo naona umeshindwa kujibu maswali ya Wanajamvi. Naomba ujikaze kisabuni na utoe ufafanuzi.
 
Tuwe tayari kwa vile hajutui saa wala muda atakao kujamwana adamu kunyakuwa kilicho chake mungu awatie nguvu wafiwa mwenyezi mungu ampumzishe kwa amani.
 
Taarifa rasmi mtapewa baadae tukitulia.
 
Its true, Dr. William Mgimwa (Waziri wa Fedha) amefariki. Nimepata habari toka very reliable source.

Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe..
 
Pole kwa familia na Watanzania.

APEPE Dr.MGIMWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…