TANZIA Waziri wa Fedha, Dkt. Willliam Mgimwa afariki dunia!

TANZIA Waziri wa Fedha, Dkt. Willliam Mgimwa afariki dunia!

P.I.P dr Mgimwa pumzika kwa amani Mungu akupe pumziko la milele
 
Its true, Dr. William Mgimwa (Waziri wa Fedha) amefariki. Nimepata habari toka very reliable source.

Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe..

R.I.P Waziri Mgimwa.
 
R.I.P Dr. William Mgimwa.. Bwana amekupenda zaidi! Tutakukumbuka daima, familia yako Mungu aipe nguvu ya kustahili maumivu ya moyo!
 
Aisee! R.I.P waziri na Kwa niaba ya familia yangu ningependa kutoa pole kwa ndugu wa karibu na marehemu.
 
So sad

Mungu amlaze panapomstahili

Angalizo:Hazina wasiutumie msiba kuhalalisha hujuma yoyote kwa Taifa.
 
Aisee Km ni kweli ni Habari ya kusikitisha sn! Yani mnasikia tu mtu kafa bila ata kuugua?!
 
we nawe acha uswahili..unaposema "reliable source" ni ipi? kuna wattu mnakera humu..

...acha ujinga wewe,huu ni msiba wa mtu ninayemfahamu,na sio kilakitu kitawekwa jamvini,nimeleta taarifa,kama huamini kaa kimya time will tell. Mimi sio watu wa kuja kuleta ujinga kama unavyofikiri...
 
Nyeee himagava ngayalukani, umkwamisi Wilyamu afwe deni de?

Vahungilage na va Mng'anzagala, va Maseto, va Chimbilongo, va Lihangawike, va Julyasi, va Pyangidako, va Sengidunda, va Kihulo na vangi mbevali.

Ndemwisukuluwo ndilimumigo ya kuyipilula inyi mumawoko ga vanyainyi.

Twisuka utwimilile tuyipilule inyi iyi pe tufisile 2015
 
RIP Dr.
Lakini taarifa zaidi zinahitajika. Amefariki wapi, alikuwa anaumwa au ni ajali?
 
Huyu mgimwa kauwawa sana humu jamvini. Zaidi ya mara5. Sasa sijui leo ndo kafa kweli?

Kweli hata mie nilikuwa najiuliza hizi taarifa ni nani alikuwa akizileta hapo awali na kwa nini kama ni kweli inafichwa fichwa?Hakuna msemaji wa wizara ama mwanafamilia atueleze ukweli?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Looh! Ni huyu wa fedha ama ni wa kipindi kingine kilichopita ama?

Mwenyenzi Mungu Bwana wetu na ampe pumziko la milele shambani mwake!
 
...acha ujinga wewe,huu ni msiba wa mtu ninayemfahamu,na sio kilakitu kitawekwa jamvini,nimeleta taarifa,kama huamini kaa kimya time will tell. Mimi sio watu wa kuja kuleta ujinga kama unavyofikiri...

Mpotezee si umeona jina hilo ni vijana wa dotcom hawajui wanabishanana na nani wanajua JF wote humu wapo kama wao wanyoa viduku na kuvaa kata kei,hawajui kwamba tuna wabunge,mawaziri,madiwani,ma-professa,matajiri na mbaillionea na Rais yumu humu.
 
Habari za kuwa amefariki zipo kitambo sana hapa jamvini, na kuwa alikuwa akiuguzwa SA. Je, inaweza kuwa hali yake ya kiafya ilimlazimu JK asikilizie nini kitatokea na hivyo kumfanya asitangaze mawaziri wapya baada ya wale wanne kujiuzulu?
 
IMG_1670.JPG



Rest In Peace Dr. Mgimwa. Nilibahatika kufanya naye kazi last 2 months. Sikujua kuwa ni mgonjwa by then.
 
Nimepokea taarifa ya kusikitisha.

Mzee wetu na mjomba wangu, Dr. William Mgimwa amefariki dunia asubuhi hii

Mungu ni mwema na tuendelee kumshukuru kwa kila jambo,mungu ametoa na pia ametwaa,tuendelee kumwombea huko aliko,amefanya yake ama duniani lakini pia mungu kamwitaji zaidi yetu
R.I.P Dr. William Mgimwa
 
Back
Top Bottom